Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
Wanawake wanaopenda kwa dhati wapo wengi sana.Ila kwa kweli dunia ya sasa mwanamme yeyote atakayeweka matumaini makubwa kwamba anapendwa na mwanamke na kusahau wala element kubwa sana ya ubidhaa atapata tabu sana.
Na pia wanawake wanaotaka fedha wapo wengi sana.
Hapo ni akili yako tu.