To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Jipende,afu chunguza Sana utagundua wanaume wanapenda mwanamke mwenye mwili.😋....Mumeo yupo njiani achana na wa humu cuteNaumia mnavyoninyanyasa! Kwani mimi nilipenda kua hivi🥹🥹😣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jipende,afu chunguza Sana utagundua wanaume wanapenda mwanamke mwenye mwili.😋....Mumeo yupo njiani achana na wa humu cuteNaumia mnavyoninyanyasa! Kwani mimi nilipenda kua hivi🥹🥹😣
Mzee ushawaza mbali.Sema kweli Mjukuu 😜
Liwe shangazi na mwili wa kishangazi, asante Mzee mwenzangu🤣Hahahahaha, ila mishangazi ina mizuka sana
Kijana ndo ushanikosa....siku enroll Tena 😂😂😂💔Sema kuna mnido wa hivyo mimi pia nauelewa ila uwe umejaa sasa😁
😂😂😂Mimi naondokaJipende,afu chunguza Sana utagundua wanaume wanapenda mwanamke mwenye mwili.😋....Mumeo yupo njiani achana na wa humu cute
Hahaha...............ndiyo maana Mimi na Bibi yako tunakumisi ukiwa mbali 🤗Nimeshona mdomo. Mzee kidigtal.🤣
Zimefunguka??Chap chap PM kabla haijajaa
WA Oysterbay.....hahahhahaahahMbona kama anafanana na yule naniiu wa wale vijana.
Hahahahaha, mzee mwenzangu, sie kwa umri huu ,tunacheza na shangazi tu...maana Mjomba wake ShangaziLiwe shangazi na mwili wa kishangazi, asante Mzee mwenzangu🤣
Acha hizo ka nyamwi kwamba wewe sa sita 🤔Kijana ndo ushanikosa....siku enroll Tena 😂😂😂💔
Kuweni na imani na Wazee 🤗Mzee ushawaza mbali.
View attachment 3076951
Wallahi nimempenda bure huyu dada kwa pozi alilolitoa.
Jamani nitampateje?
Nimemkuta mtandaoni.
🤣🤣🤔 Haya bye😂😂😂Mimi naondoka
Wewe toyeeJipende,afu chunguza Sana utagundua wanaume wanapenda mwanamke mwenye mwili.😋....Mumeo yupo njiani achana na wa humu cute
Ewaah 😁Acha hizo ka nyamwi kwamba wewe sa sita 🤔
Ni vitu vyangu pia😋Ewaah 😁
Unazinguwa hutaki kupewa misifa changamka kabla ya saa 5, saa 5:30 naenda masjid🤣🤣🤣Zimefunguka??
🤣🤣🤣😋Wewe toyee
Swahiba kwani nawe ni mshangazi 😂Mwenyewe nimemuona ni mshangazi mwenzangu. 😀😀
Ye kamuita dada.
Wewe mwaribifu eeeee😊🤣🤣🤣😋