Mambo yasiwe mengi.90% ya warembo wanaopostiwa humu wako nusu uchi, Kucha bandia, Nywele fake, Makeup-top, Kope bandia, infact ni uzuri fake.
Original hawajipost, kupata picha zao ni ngumu ile mbaya mbovu 😂👊🏾Mambo yasiwe mengi.
Post original tuwaone mkuu
Mtaani mambo yamebadilika.Original hawajipost, kupata picha zao ni ngumu ile mbaya mbovu 😂👊🏾
Hahahaa!! Sio poa mkuu.Mtaani mambo yamebadilika.
Wanawake wengi wanatumia kemikali.
Kuwapata unaowataka labda tuwafuate Rusewa Tunduru au Kazuramimba Uvinza
Au huko ulipo unawaona wenye rangi zao halisi na nywele zao ?Hahahaa!! Sio poa mkuu.
Mwanangu watoto natural wameadimika kinoma kama noti ya mia5.Au huko ulipo unawaona wenye rangi zao halisi na nywele zao ?
Mambo siyo mambo tena.
Kila kitu ni fake tu.
Wanaume pekee ndiyo utapata Og ingawa nguvu hawana, wanatumia Kasongo sebene🤣🤣🤣🤣