Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

555.jpg
 
Au huko ulipo unawaona wenye rangi zao halisi na nywele zao ?
Mambo siyo mambo tena.
Kila kitu ni fake tu.
Wanaume pekee ndiyo utapata Og ingawa nguvu hawana, wanatumia Kasongo sebene🤣🤣🤣🤣
Mwanangu watoto natural wameadimika kinoma kama noti ya mia5.

Sema sure man Manniga wengi hatufake life tuko original, wana wachache tu wanatufelisha ile mbaya.

Kwenye nguvu hapo, nauza sana mkongo, niliiona fursa 😂👊🏾
 
Back
Top Bottom