Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbinguni tunaweza kwenda,ila mwanaume kula mwanamke mmoja tu kila siku ni ngumu,Tuwe wakweli, kufika mbinguni ni kazi ngumu sana...
Huyu demu labda afe mapema,lakin kama sio hvyo huko mwshoni atakuja kuteseka sana,yaan yote haya kayafanya kufurahisha wanaume(alikuwa mweusi na hana tako)
Kiuno cha nyigu huwa kinanimaliza akili hata kama demu atakosa tako,lakin akiwa na kiuno kidogo mimi hoi
unapenda haya makalio ya photoshop
Ni nani huyo mkuu?Huyu demu labda afe mapema,lakin kama sio hvyo huko mwshoni atakuja kuteseka sana,yaan yote haya kayafanya kufurahisha wanaume(alikuwa mweusi na hana tako)
Hapana. Haka kako hivyo. Hata video zake ziko hivyo hivyo japo kwenye hiyo picha nadhani wamekabusti kidogo. Sema tu reception ya kenyewe kamechukua kutoka kwa mshua! 😁🙌unapenda haya makalio ya photoshop
Natembea na kulia,siku hz mabonge siyafagilii kabisa,sjui kwavile nina kibamia
Watakuwa ni wa sauz hawa
Ni Vera sidika ni mkenyaNi nani huyo mkuu?
Ni Mbongo?
➡️➡️➡️ Waliojishindilia haya manyama matakoni wakivuka 35 tu hali inaanza kuwa tete. Na operesheni za kuyaondoa ni hatari zaidi na gharama sana! Na madhara yake ya muda mrefu hayajulikani japo kansa ya damu na matiti pamoja na Osteoporosis vinatajwa sana! Ni hatari mno!
Waganda/Wanyarwanda...Watakuwa ni wa sauz hawa