Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Huyu demu labda afe mapema,lakin kama sio hvyo huko mwshoni atakuja kuteseka sana,yaan yote haya kayafanya kufurahisha wanaume(alikuwa mweusi na hana tako)
Ni nani huyo mkuu?

Ni Mbongo?

➡️➡️➡️ Waliojishindilia haya manyama matakoni wakivuka 35 tu hali inaanza kuwa tete. Na operesheni za kuyaondoa ni hatari zaidi na gharama sana! Na madhara yake ya muda mrefu hayajulikani japo kansa ya damu na matiti pamoja na Osteoporosis vinatajwa sana! Ni hatari mno!

 
Ni Vera sidika ni mkenya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…