Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Naona umeamua kutuletea picha za Nigerian girls ulizotoa kwenye mitandao yao.
 
Kiukweli kila Mwanamke anauzuri wake maana wanaume tunatofautiana ktk chagu za hawa watu, kuna kundi la wanaume wanaopata kichaa wakimwona mwanamke mwembamba ilihali kuna ambao hata hawamtizami mwanamke huyo akipita. Vivyohivyo kwa wanene, warefu, wafupi, weupe, weusi n.k.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…