Ukwaju
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 13,383
- 11,197
kuna picha yako moja kali na adimu sana Duniani haijawahi tokea au hawaijuiHahahaaa jukwaa hili hili la Picha. Uzi wa mshana nadhani wa picha za zamani. Sijamaliza ntarudi kule manaake lile kingine limekufa.Napenda sana picha kwakweli
ni ile ya Putin Rais wa Russia leo kutembelea kambi ya Mazimbu Morogoro Tanzania
akiwa Mwl wa kijeshi, hata sijui km yeye mwenyewe Putin anakumbuka Tanzania.
nimetafuta source au habari za kuja kwake sijapata hadi leo, nimeikubali