Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Mimi sijui hata kama nitaoa,nina wivu kinoma yaani..haya mambo yananiumizaga sana,demu wangu akiwa mbali roho yangu inakuwa juujuu nakuwa nawaza tu kuwa inawezekana kuna njemba linapoa nae..
 
Mimi sijui hata kama nitaoa,nina wivu kinoma yaani..haya mambo yananiumizaga sana,demu wangu akiwa mbali roho yangu inakuwa juujuu nakuwa nawaza tu kuwa inawezekana kuna njemba linapoa nae..
mkuu na mimi nilikuwa hivo kama wewe lakini maisha yamenibadilisha,jiulize kwan huwezi kupata mzuri zaidi yake ? akikazwa nawe unatafuta mzuri zaidi, unafaa ujiandae tu kisaikolojia, nina jamaa yangu anakaza sana mademu wa watu nimejufunza kutoka kwake kitu kimoja mwanamke haelewi anataka nini
 
Hapa mbona pamebonyea ndani ipo kweli? [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]

"Fᵒˡˡᵒʷ ᵉˣᶜᵉˡˡᵉⁿᶜᵉ ˢᵘᶜᶜᵉˢˢ ʷⁱˡˡ ᶜʰᵃˢᵉ ᵖᵃⁿᵗˢ ᵈᵒʷN"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…