B R A C E L E T
JF-Expert Member
- Nov 11, 2018
- 2,357
- 4,390
Bro nimecheka sana hapo kwenye king'amuzi cha Azam 🤣, ukitupia covo tutaona wanavyojibu😛😛😛Ni rahisi mkuu, we ingia kwenye profile ya manzi uliyemuelewa halafu ñenda direct inbox. Unamuanzia simple tu kama vile "hello, you're so beautiful, nobody can deny that. As a compliment, how 'bou I take you out for lunch if you don't mind"
Wabongo wakisikia lunch tu maskio yanasimama kama king'amuzi kipya Cha Azam.. hapo inachofuatia kitonga, nikikuonesha conversation yangu dm na Aunty Lulu hutaamini mpaka nikamtafuna.