Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Hiyo Dolla Mia si laki mbili? Labda jamaa alikuwa ni choko ila wa kujificha tu

Hilo tukio ni inafika miaka 15 nyuma, kipindi hicho hiyo dola mia ni laki na nusu, ila laki na nusu ya miaka 15 nyuma sio ndogo kiivo mkuu, mana mishahara yao hao wamasai ya ulinzi sifikiri kama ilikua ikizidi elfu 60 kwa kipindi kile.
 
Ni miaka 18/19 iliyopita chief.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…