GUI1
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 4,361
- 5,628
Hili dude noma, lina patikana wapi?
Hili dude noma, lina patikana wapi?
Hiyo Dolla Mia si laki mbili? Labda jamaa alikuwa ni ***** ila wa kujificha tu
Ni miaka 18/19 iliyopita chief.Hilo tukio ni inafika miaka 15 nyuma, kipindi hicho hiyo dola mia ni laki na nusu, ila laki na nusu ya miaka 15 nyuma sio ndogo kiivo mkuu, mana mishahara yao hao wamasai ya ulinzi sifikiri kama ilikua ikizidi elfu 60 kwa kipindi kile.
Daaah hapo chini sasa😋😋Uzi unenepe huu jamani.View attachment 1708332
SanaaaaYes, mtoto mzuri sana
Duh ni hatari....