Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Pole sana ndugu, huu uzi umekwaza wengi saana, kuna siku niliona picha ya wifi yangu kabisa, mdogo wa mume wangu, tena sio picha moja, muhusika aliwekaa picha kama tatu, nilitamani nimpandie PM alieiweka hapa halafu nikajikuta nasema its not any of my business, na mpaka leo nimekaa kimya sikuwahi hata kumshirikisha kaka mtu maana sijui ingekuaje

Nadhani picha zinazowekwa humu hazina ridhaa kutoka kwa wahusika na ni vizuri mods wakauangalia huu uzi kwa jicho la tatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…