Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Kuna siku nimekuta picha ya demu wangu hapa tena akiwa uchi kabisa nikasema sitakaa nimwamini mwanamke yeyote duniani hata mama yangu mzazi yaani najiuliza ni nani huyo ampige picha ya uchi vile halafu asimle haiwezekani

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Pole sana ndugu, huu uzi umekwaza wengi saana, kuna siku niliona picha ya wifi yangu kabisa, mdogo wa mume wangu, tena sio picha moja, muhusika aliwekaa picha kama tatu, nilitamani nimpandie PM alieiweka hapa halafu nikajikuta nasema its not any of my business, na mpaka leo nimekaa kimya sikuwahi hata kumshirikisha kaka mtu maana sijui ingekuaje

Nadhani picha zinazowekwa humu hazina ridhaa kutoka kwa wahusika na ni vizuri mods wakauangalia huu uzi kwa jicho la tatu
 
Wife material
20210319_183428.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom