Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Ila wanabodi ni vizuri tupeane msaada iwapo mwenzio amekuomba Japo hata namba tu
ili apigane kiume mwenyewe anavyojua!

Sasa kweli ataweza:
1. wewe mtoa Namba akupe hela
2. mtoa Jicho nae apewe hela
3. Gesti atakayoenda atoe hela
4. Boda au Tax atayemleta demu apewe hela
5. Mtu wa chakula hotel apewe hela
6. Mtu wa vinywaji nae apewe hela
7. Salio la kifurushi voda, Halotel nao hela

Jamani hatuoni kuwa ni gharama sana?
Nadhani haya mengine tusaidiane tu
Kitu Kama namba wanabodi!
View attachment 1755143
Shughuli sana [emoji23] [emoji23][emoji23] watu wanatengeneza fursa
 
[emoji41][emoji41][emoji41]
IMG_20210418_085332.jpeg
Screenshot_2021-04-05-11-46-20-925_com.miui.gallery.jpeg
 
Ila wanabodi ni vizuri tupeane msaada iwapo mwenzio amekuomba Japo hata namba tu
ili apigane kiume mwenyewe anavyojua!

Sasa kweli ataweza:
1. wewe mtoa Namba akupe hela
2. mtoa Jicho nae apewe hela
3. Gesti atakayoenda atoe hela
4. Boda au Tax atayemleta demu apewe hela
5. Mtu wa chakula hotel apewe hela
6. Mtu wa vinywaji nae apewe hela
7. Salio la kifurushi voda, Halotel nao hela

Jamani hatuoni kuwa ni gharama sana?
Nadhani haya mengine tusaidiane tu
Kitu Kama namba wanabodi!
View attachment 1755143
Well Said
 
Afu inakuwaje mwanaume anapenda vpesa vya kzembe kzembe hvyo kama demu
 
Pole sana ndugu, huu uzi umekwaza wengi saana, kuna siku niliona picha ya wifi yangu kabisa, mdogo wa mume wangu, tena sio picha moja, muhusika aliwekaa picha kama tatu, nilitamani nimpandie PM alieiweka hapa halafu nikajikuta nasema its not any of my business, na mpaka leo nimekaa kimya sikuwahi hata kumshirikisha kaka mtu maana sijui ingekuaje

Nadhani picha zinazowekwa humu hazina ridhaa kutoka kwa wahusika na ni vizuri mods wakauangalia huu uzi kwa jicho la tatu
Pisi kali
20210327_210244.jpg
 
Back
Top Bottom