Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

.
IMG_20210823_151704.jpg
 
Ule Uzi unapicha za utupu nyingi na nyingine ni porn Sasa wote tunapenda ule Uzi ufutwe tukutane hapa najua CHAPUTA ngazi mbalimbali kuanzia vijiji mitaa kata tarafa wilaya mikoa taifa mtanipiga mawe. Hasa baada ya porn sites kufungiwa potelea mbali.
Nmekutana na hii mada kutoka kwa huyo mwanamke hapo 👆 anataka huu uzi ufutwe, mimi nadhani ni genye tuu linamsumbua
 
Me sioni warembo wakali, naona mataka taka manene tu. Au huo ujazo wa matako ndio urembo? Jitu nene, unawezaje kuliita mrembo.

Wekeni vipicha vya warembo jamani
 
Me sioni warembo wakali, naona mataka taka manene tu. Au huo ujazo wa matako ndio urembo? Jitu nene, unawezaje kuliita mrembo.

Wekeni vipicha vya warembo jamani
Hujalazimishwa kuja kwenye huu uzi mzee, ww kama unaona ni matakataka bc kiroho nyepesi tuwekee hao unaowaona ni wazuri, muda mwingine mtu anashindwa kujua mada/comments fulani ni kutoka kwa mwanaume au mwanamke kutokana na jins mtu unavoandika
 
Kwenye wimbo wa diamond wa yope wanatajwa na kusifiwa watu ambao Leo hawapo Tena kwenye circles of power .

Magufuli baba Lao.
Makonda baba Lao .

Hawa Leo wote hawapo mmoja kafa mwingine majaliwa yake anajua Mungu.

Funzo tukanyage kwa adabu ardhi ya Mungu.
😂😂😂 Kumbe ww jamaa hamnazo kitambo eee
 
Back
Top Bottom