Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

[emoji7]
IMG_20191117_121521_816.jpeg
 
Ngoja nisave picha kabla uzi haujafutwa......kuna harufu ya huu uzi kutokuwa na maisha....[emoji40][emoji40][emoji40]

ᴮᵉʷᵃʳᵉ ᵒᶠ ᵗʰᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ⁻ ¹⁹ [emoji377]
 
Mods wetu mmekuwa mkifuta au mkizifunga Nyuzi zinazoelezea Ufundi wa Mwenyezi Mungu katika uumbaji wa hawa viumbe wenza yaani wanawake.

Kwanza mliuondoa uzi pendwa wa mapichapicha ya wadada walioumbika

Kisha mkaondoa Uzi Mujarabu wa Usichukulie poa Nyumba ni Choo

Jana na leo ukaja uzi wa mapambo ya ulimwengu kuonyesha jinsi gani.Mwenye enzi mungu anavyotulia pindi anapowaumba Viumbe wa jinsia ya kike.

Najua mtafuta huu uzi lakini nawaambia wazi huo ni ushamba na unafiki hizi nyuzi hazina.shida yoyote kuna.nyuzi kibao humu zinachochea umalaya ushoga na usagaji zingine zinachochea ujambazi wala hamzifuti.
Acheni UZWAZWA

MUNGU FUNDI

View attachment 1398349View attachment 1398350View attachment 1398352View attachment 1398353View attachment 1398354View attachment 1398355View attachment 1398357View attachment 1398358View attachment 1398359View attachment 1398360View attachment 1398363View attachment 1398365View attachment 1398367View attachment 1398369View attachment 1398370View attachment 1398371View attachment 1398372View attachment 1398373View attachment 1398374View attachment 1398375

Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo yetu hayoo,wanawake wenye steki kama hizo tafauti tafauti nimekutana nazo sana lake zone,fillet za kutosha.full mishepu ila sura ndo mbovu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom