Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Ni kwel ndugu kwa usemayo, ila naona si type yang huyo kwa kwl..ntalizwa mchana kweupe ndg.au unasemaje[emoji23]
Hapana huwezi kulizwa, ukiwa una mpiga miti vizuri, una mpa mahitaji yake yote, pesa ipo.. miti unahakikisha ukipiga hadi aamki, ukiwa na uwezo wa kumzalisha, na kumfanya ajisikie amani na furaha mda wote na kujiona salama.. basi hapo haita tokea ukaumizwa
 
Kuumizwa ni uchaguzi mkuuu... hakuna mwanamke asie tulia uki balance kila kitu [emoji3][emoji3][emoji3]
Mwanamke hajawahi kuridhika tangu dunia iumbwe,,, mkuu,,,na wala hata ridhika hadi dunia iishe,,
Na kadiri unavyojitahidi kumridhisha mwanamke ndy kadiri unavyojitengenezea mazingira ya kuumizwa..
1..NO MONEY NO HONEY..
2..LOVE DON'T COST A THING..
hiyo ni misemo 2 tofauti ,,ukiitafakari sana inafikirisha sn..
Kama hauna pesa hupendwi..
Na hata kama una pesa lakini mapenzi hayagharimu pesa..hayagharimu chochote..
Sasa utaweza kumridhisha mwanamke?
Wewe gegeda ,,,fanya yako mkuu..
 
Anaitwa sweet montanaView attachment 1545783
IMG_20200823_124351_851.jpg
 
Hapana huwezi kulizwa, ukiwa una mpiga miti vizuri, una mpa mahitaji yake yote, pesa ipo.. miti unahakikisha ukipiga hadi aamki, ukiwa na uwezo wa kumzalisha, na kumfanya ajisikie amani na furaha mda wote na kujiona salama.. basi hapo haita tokea ukaumizwa
kwel boss confidence mpang mzm
 
Back
Top Bottom