Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

IMG_20210131_171746.jpg
IMG_20210131_171742.jpg
 
Mmeanza kurudia picha za nyuma. Huyu mnarudia picha yake zaidi ya mara 10, halafu mboooovu. Mdomo wenyewe huo unaonekana ulipandikizwa nyama kwa maana alizaliwa na Mdomo wazi au Mdomo Sungura. Mnatuchefua aysee
Unaumwa wewe kapimwe corona
 
Unaumwa wewe kapimwe corona
Huuu uzi nimegundua kuna Madalali wa Mademu wanaojiuza, ukiponda Biashara yake yaani demu aliyepostiwa hapa jukwaani wadau wanakumaind hadi Inbox. Anyway yameisha tusongembele lengo letu ni kusafisha macho na kutafuta appitite tu👍👍👍
 
Huuu uzi nimegundua kuna Madalali wa Mademu wanaojiuza, ukiponda Biashara yake yaani demu aliyepostiwa hapa jukwaani wadau wanakumaind hadi Inbox. Anyway yameisha tusongembele lengo letu ni kusafisha macho na kutafuta appitite tu[emoji106][emoji106][emoji106]
We mzee usimuogope mtu....kitu ikiwa kali sifu....ikiwa mbovu ponda.
Sema na wewe muoga sana. Akikuchimaba biti PM mwambie akukome.
 
Back
Top Bottom