Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

IMG-20210215-WA0008.jpg
 

Attachments

  • IMG-20210215-WA0007.jpg
    IMG-20210215-WA0007.jpg
    54.3 KB · Views: 25
Hiki unachofanya hapa kimenikumbusha kisa kimoja kilitokea Zenji kuna mmasai alitumwa na muitalinao amtafutie choko,sasa mmasai alivyotajiwa dau akaingia tamaa akamuuliza mzungu kama yeye mmasai anaweza akaifanya hiyo kazi..kilichotokea ni habari nyingine..ila box nne usawa huu dah..sema ndio hvyo inategemea na class ya huyo manzi!
nshawahi kuiskia mahali hiyo ishu ya Masai na muitali
 
Mdomo wenyewe huo unaonekana ulipandikizwa nyama kwa maana alizaliwa na Mdomo wazi au Mdomo Sungura. Mnatuchefua aysee
Sasa kama unachefuliwa si utapike tu mzee! Kwani mdomo uliopandikizwa huwa hauwezi kunyonya o0.Mb? Acha zako msee!
 
hii ni ya Rwanda naijui in out alafu nashangaa kuna manzi Instagram anatumia pic zake na anajifanya yeye ndio hiyo pisi

hiyo pisi iliwai kuwa na boyfriend Rwanda dogo akawa anapiga kitabu alafu hana hela hiyo manzi ikamtosa

dogo aliyeachwa akakomaa na book akaenda kusomea urubani Qatar baada ya kumaliza akajiunga na jeshi la Rwanda mara ya mwisho nilikutana nae Rubavu alikuwa na Nyota mbili alafu bado anamuelewa huyo manzi kichizi
 
Huuu uzi nimegundua kuna Madalali wa Mademu wanaojiuza, ukiponda Biashara yake yaani demu aliyepostiwa hapa jukwaani wadau wanakumaind hadi Inbox. Anyway yameisha tusongembele lengo letu ni kusafisha macho na kutafuta appitite tu👍👍👍

hebu nipo connection za hao madalali kijana wanioneshe bidhaa zao
 
Back
Top Bottom