daraja la kigamboni
JF-Expert Member
- Apr 28, 2016
- 3,127
- 3,062
Tunakula Kwa macho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaposhauriwa kula matunda,mbogamboga na vitu vingine vyene virutubisho,ni ili uwe na afya njema. Uzi huu unahitaji vitu hivyo. Na vitu hivyo ndo hivi sasa[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1721809
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante kwakukumbushia mkuu!!Umesahau na kunywa maji ya kutosha[emoji16][emoji16]
Hii hapana,mtendeeni haki mtoto,huku amefuata Nini picha yake
Manzi ako anaitwa Halima?Kuna siku nimekuta picha ya demu wangu hapa tena akiwa uchi kabisa nikasema sitakaa nimwamini mwanamke yeyote duniani hata mama yangu mzazi yaani najiuliza ni nani huyo ampige picha ya uchi vile halafu asimle haiwezekani
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Mtoto mzuri cassie, nilianza kumtamani kipindi anatoa Long way to go, dah watu wanafaidi
Mzuri sanaMtoto mzuri cassie, nilianza kumtamani kipindi anatoa Long way to go, dah watu wanafaidi