Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo sneaker kali sana 👆👌😂.View attachment 1741974View attachment 1741975View attachment 1741977
Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Hilo jicho,dah Mungu fundi
Kifua nambari uno! 👌
hapo kuna chakula mbili, tikiti maji na mchumba mwenye barakoa..View attachment 1741974View attachment 1741975View attachment 1741977
Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Aise hizi nnyaa shidaaa.View attachment 1742350View attachment 1742351View attachment 1742352
Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Wewe Mdau Connections unatuharbia huuu uzi na hizi Mbaula unazotujazia hapa jamvini, huu uzi siyo wa hizo Sampuli zako za Huko Mwandiga Kigoma. Nawapigia Mods ukiendeleza haya MaPolygon yako wakupige Ban ya Maisha🤣🤣🤣
😂 😂 😂Wewe Mdau Connections unatuharbia huuu uzi na hizi Mbaula unazotujazia hapa jamvini, huu uzi siyo wa hizo Sampuli zako za Huko Mwandiga Kigoma. Nawapigia Mods ukiendeleza haya MaPolygon yako wakupige Ban ya Maisha🤣🤣🤣
Shauri yake, yatakayomkuta asilaumu mtu..
Kweli, wengi wetu tunashobokea 'outside cover', 😂Ila kuwa mwanaume ni kazi sana, yan unaweza ukapagawa na umbo la mwanamke ukaona ni kali sura kama malaika ila ndan sasa ukakuta engine ni ovyo yan bora ata ya dekio yan ni lijirambara kabisaa
Hii ngoma itakua ni Thailand,tena ni Pattaya,wamejaa kibao wa hivi na Mashisha bwerere.
Uwapate hao wawili mbona unafaidi mpaka dushe lilale ndani ya mbususuhapo kuna chakula mbili, tikiti maji na mchumba mwenye barakoa.