Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
Adabu wanazo ila tatizo ni jinsi ya kuziwasilisha kwa jamiiSpeechless.....[emoji29][emoji29][emoji29]
Ni time sasa jamii yapaswa kumfundisha adabu huyu mtu Kwa kufanya vitu kama hivi na mtoto wa kumzaa
Wahusika wanapinga wanasema sio wao ila mazingira ni yale yale kwenye hizo pics ambazo hazina shida, sasa cjui ni kwamba hayo ni matukio mawili tofauti (watu tofauti) ndani ya eneo moja au vipiIzo curtain... 🙆🏾♂️