_KINGO_
JF-Expert Member
- Apr 17, 2021
- 333
- 1,907
Kina nani wamepita naye ? Kama 50cent hakutumia fursa kwenye 50central atakuwa anajilaumu sana.Hiyo mashine imetembea km nyingi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kina nani wamepita naye ? Kama 50cent hakutumia fursa kwenye 50central atakuwa anajilaumu sana.Hiyo mashine imetembea km nyingi sana
Huyu unaachaje kmnyny mk 😂😂
Mbona kapiga picha kama mwalimu wa shule ya msingi?Shemeji yenu,hata kama ulipita piga kimya.
Nime like sababu ya huyo mwenye sketi nyekundu.
Usiweke kma hizi babu Uzi utafutwa
Hiv vip siku moja bongo napo wakipitisha sheria sale za wanafunzi ziwefupi kama za wanafunzi wa SA