Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Kwa sisi wahenga kidogo na tunaopenda maumbo kamili ya mwanamke halisi wa Kiafrika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuuuh, uhu uhalisi hatariKwa sisi wahenga kidogo na tunaopenda maumbo kamili ya mwanamke halisi wa Kiafrika.
View attachment 1826035View attachment 1826036View attachment 1826037
Nyie vijana wa siku hizi mnazuzuka sana na hawa maslei kwini wa mitandaoni hawa picha zimepigwa filters za kila aina. Kwa sisi wa zamani kidogo tunajua mwanamke halisi wa Kiafrika anayeishi maisha ya Kiafrika anakuwaje. Ndiyo maana wengi wenu mkienda kuonana na hawa maslei kwini wa mitandaoni humu mnaishia kuwakimbia mnapokutana na uhalisia wao...B5
Duuuuh, uhu uhalisi hatari
Nimekubali. Nyumba ndogo iko bien hatari
Teh tehNimekubali. Nyumba ndogo iko bien hatari
Mpaka unameza mate aise...
Yap, wana ki group chao, halima, salama, Maria, ndosi, etc etc etc..
sanaKuna watu wanafaidiView attachment 1825577
Naunga mkono hoja mjumbeView attachment 1825628
wengine utadhani wamependelewa
umbo zuri
sura nzuri
rangi nzuri
nywele nzuri
Tako ZURIIIIII
kama GWAJI BOY
Hii picha imemfanya Linah awe wanted kwa BASATA, kwa madai kuwa kakiuka maadili
Huyu mrembo ukimuangalia vizuri, kwa mbali anafanana na Msanii Dudu BayaKwa sisi wahenga kidogo na tunaopenda maumbo kamili ya mwanamke halisi wa Kiafrika.
View attachment 1826035View attachment 1826036View attachment 1826037
Kwani yy sio mrembo mkali???Shangazi naye umemwongeza kwenye kundi?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]