Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

.
IMG-20210623-WA0000.jpg
 
Halafu Drake mshenzi Sana aisee daaahb

Kuna video iko kule sportcenter au bleacher report katengwa na jimama fulani hivi Lina mzigo Hilo

Yuko yeye na Michael b Jordan walikuwa wanafuatilia mechi ya kikapu ya shule[emoji1787]

Jamaa likapiga macho [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nasikia Hadi. JLo alimtembezea Moto

Yule Jamaa anakula ngozi nzuri nzuri
Drake anazifaidi,drake anakula hadi wacheza porno
 
Yes kuna channels huko na group za kutosha taku PM hapa naweza bamizwa ban ya milele
Ww jamaa muongo sana, ulisema kuna video ya hajia Bintu huko kwa grup la telegram lakini hapakuwa na hy video halafu ukiulizwa unajifanya huoni comments, leo tena unakuja na mambo ya grup

Au unataka followers huko tele.?
 
Ww jamaa muongo sana, ulisema kuna video ya hajia Bintu huko kwa grup la telegram lakini hapakuwa na hy video halafu ukiuulizwa unajifanya hatuoni comments, leo tena unakuja na mambo ya grup

Au unataka followers huko tele.?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mimi kanipaki hapa tangu asbh. Nimemcheki pm lakini wapi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mimi kanipaki hapa tangu asbh. Nimemcheki pm lakini wapi.

Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂 Wanasema mvumilivu hula mbivu 😂😂😂 labla ndo anaunda hiyo channel, mm hiyo video ya hajia Bintu kila muda nlkuwa namchek utadhani nabembeleza ajira mpaka nikachoka ikabidi niwe mpole
 
Back
Top Bottom