Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

.
20210726_173611.jpg
 
Duh!! huyu dogo namfahamu sana, anaitwa Glory, alikuwa jirani yangu kabisa kitaa, Form 4 kalifaulu vyema, sijui nini kimemkuta mpaka anajianika hivi, duh!!! au nimemfananisha....no ni yeye... ntampigia simu... no zake nnazo... duh haya masisha
Sasa utampigia simu umuulize kama ni yeye au umuulize habari yake?[emoji2377]
Toa namba baharia!!
 
Hapo sasa, kizuri chaji...kibaya chaji..
Mwanamke ua, lazima lijianike, lichanuwe, lionekane, litamaniwe, ama sivyo wanapata msongo wa mawazo! Au?!
Ndio hivyo, hivi viumbe vinaleta mateso sana kwetu wanaume, mwanamke akikaa siku 2 tu bila kutongozwa tongozwa basi huwa anajihisi kama hana bahati/amepoteza mvuto/hapendwi/mbaya. Huwa wanajiskia raha ile kutongozwa tongozwa kwao.
 
Back
Top Bottom