Hawa huwa wanatoka huko makwao na kuja jijini Los Angeles kujaribu bahati yao Hollywood wakidhani kuwa ulimbwende wao utawasaidia kuwa movie stars. Baadaye wanagundua kuwa bila connections Hollywood hakuingiliki hata uwe mrembo kama malaika. Na kwa vile maisha ni ghali sana basi wanajikuta wameangukia katika porn. Na kwa vile kila porn studio inajitahidi kutafuta new talents ili kubakia kwenye gemu, mwanzoni mwanzoni pale wanalipwa vizuri sana na kutegemea na performance yao kwenye soko (kama wanapendwa na wateja na kazi zao kuuzika sana), wachache wao wanaweza hata kupata mikataba ya mwaka mmoja au miaka kadhaa. Wengi wao hata hivyo hukumbwa na frustrations tu, msongo wa mawazo na huishia kujikita katika pombe, madawa na ukahaba. Mwishowe huondoka Fernando Valley (makao makuu ya uzalishaji porn Marekani) wakiwa na mioyo iliyopondeka, wamedhalilika kabisa na wengi wao hufa mapema sana. Hata wachache wanaofanikiwa kama akina Cherokee D'ass, Mia Khalifa na Jameson ukiwasikiliza interview zao kwa ndani ni majuto tu na wanatamani sana kama wasingejiingiza katika biashara hii. Ni kazi ya laana na yenye kuharibu utu, roho na mwili!
Huyo Mia KHalifa ni takataka kabisa