View attachment 1876772
Ni kweli Mkuu uliyoyasema
hata huyu Lisa Ann
Kuna interview moja anakili Jinsi kwa sasa anavyochukiwa kwenye industry
yaani unaona kabisa anajutia kwa yote!
so fikiria mtu kama huyu Lisa Ann ataishia vipi coz industry anaona inamtenga akirudi kwenye Jamii anahisi kama utu wake umeondoka!
Plus ugumu wa maisha!
Mwisho utajikuta anajiua na kibaya zaidi industry ilimfanya afanye hadi hizi surgery!
Kiukweli tunafurahi kuwaona wanatoa majicho ila katika real life hawana furaha bali ni majuto mengi sana!