EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Si mpaka uifikie kule ndani?
acha nipambane na viswaswadu
Halafu hizi style zinamkaribishaga shetani haraka sana utende dhambi ya pili 😎 😎
Mi sizipendagi kabsaa bora ubaki na dhambi moja Mungu anaweza akafumba macho