Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

images (13).jpeg
 
Warangi wazuri usoni hatukatai. Tunawapenda mnavyotuonea huruma mtaa mzima. Ila usafi dumisheni ona sasa kopo la sukari karibu na dustbin. Aloooooo
Kwa maisha ya kibongo pale sio dustbin, n sawa na sisi tunavoishi chumba kimoja na mtungi wa gesi, gunia la mkaa, bodaboda na wanaume wa Dar sasa hv wanaweka na kopo la kukojolea
 
Back
Top Bottom