raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
🔥🔥🔥🔥🔥
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🔥🔥🔥🔥🔥
How come hii gari inatumia Diesel?
Huyu Angela?
Kuna watu wanajojoa padhuriii😋😋
Hapana bana, hao sio wachoyo labda kama huwajulii, wanaitwa Paka wa bar!!Wachoyo sana
Kwa jina lingine wanaitwa Lamba lamba wana vijicho vya uwizi.Hapana bana, hao sio wachoyo labda kama huwajulii, wanaitwa Paka wa bar!!
Na ukizubaa wanakuibia kweli, then kila Bar wapo!!Kwa jina lingine wanaitwa Lamba lamba wana vijicho vya uwizi.



😅😅😅🤣🤣 mapema sana kiliumana aiseeeNa ukizubaa wanakuibia kweli, then kila Bar wapo!!
Mwaka huu mwezi Aprili nilikuwa safarini sasa maeneo ya Morogoni nikakuta kuna Bar moja hivi tayari jamaa Mturuki wa Yap Merkezi ameshalizwa iPhone na hao wadada!!![]()