Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa yangu subiri nifike nyumbani ndio upost!! Nipo barabarani natembea kwa miguu, au unataka nigongwe na gari ndio ufurahi
Hivi huyu ndio yule wa Steve Mweusi?
Wengine hawana changamoto ya afya ya akili kweli?
Nilipoiona hii picha nikahisi kama yupo nje ya ghetto langu ananigongea dirishani nikamfungulie mlango!!
Hii ndio ile muandazi wa chai anapofanywa kitafunwa!!
Nesi wa wapi huyu wazee
Kwa sababu gani mkuu?Wengine hawana changamoto ya afya ya akili kweli?
konde anafaidi aseeee