Rozela
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 845
- 2,235
Ukiona yupo jukwaa la siasa mara jukwaa la intelijensia mara international forum ujue huyo sio laini na romantic.
Watoto wazuri kama hawa mwisho wao ni instagram na tiktok. Sasa we tongoza humu usijesema hukuambiwa, we mtu anaichambua Syria na Hamas utadhani nayeye ni member halafu unakaza komwe kumtongoza.
Hivi vitu laini laini haviko huku