Alooo....wee kama mie napagawa sna nanmwanamke mwenye vidole virefu vyembamba.Kigezo muhimu kabisa kwangu ili kuvutiwa na mwanamke lazima awe na vidole virefu mikononi, na virefu miguuni vilivyo banana. Nje ya hapo hata awe mzuri na shape nzuri kiasia gani akikosa hizo sifa siwezi kuwa na stem nae