GE2025 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Samia Suluhu na Dkt. Emmanuel Nchimbi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
CCM sisi Wengine ni wanachama ila ni aibu kutetea kwa sasa
Chama kinaogopa hadi maandamano ya Nepal?

Britanicca
 
Ikiwa imebakia mda mfupi tuingie kwenye uchaguzi mkuu.

CCM wamezidi kukiwasha na vya upinzani vikibakia mdomo wazi.kwa kuwa CCM wamejipanga vizuri

Dhihirisho kuwa CCM watakwenda kushinda uchaguzi mkuu
Inangia kwa kutumia VPN kuongea ujinga?
 
Ikiwa imebakia mda mfupi tuingie kwenye uchaguzi mkuu.

CCM wamezidi kukiwasha na vya upinzani vikibakia mdomo wazi.kwa kuwa CCM wamejipanga vizuri

Dhihirisho kuwa CCM watakwenda kushinda uchaguzi mkuu
Kushinda uchaguzi??????
Anashindana na nani?
 
Nitampigia kura Samia na ndugu zangu nitawashawishi wafanye hivyo.


Uzi tiyari
 
Vipi upo tayari kusikia maoni tofauti?

Anyways, Kila la heri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…