jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,540
- 25,834
Hizo nyingine porojo. Nakukibu hapo kwenye “current affairs”, unafahamu unachoongea endapo wewe siyo chawa?Kuna watu ninyi mna wishful thinking, ambayo inakinzana na reality.
Kuita mtu chawa wakati huna maono , ni kukosa analysis ya current affairs.
Mimi nina huwa nina careful observation ya situation as apart from watu kama ninyi, tupe sasa scenario yako.