Mkuu Damballa
Member
- Apr 26, 2025
- 65
- 64
Nimeoina hii hoja kwenye kampeni za chama cha mapinduzi ghafla nikajikuta nimeunga mkono kauli mbiu ya October tunatiki.
Awali nilikuwa sijui kwamba hata wanaccm nao wanakubali kwamba mwaka huu hakuna uchaguzi isipokuwa maigizo Tu . Eti October 2029;tunatiki na bila kuonyesha kuwa amekosea kutamka ikabidi tena arudie kutamka 2029 October Tunatiki has Aisee 😁😁😁😁😁😁