GE2025 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Samia Suluhu na Dkt. Emmanuel Nchimbi

GE2025 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Samia Suluhu na Dkt. Emmanuel Nchimbi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Umati wa Wananchi wa Mbeya Mjini waliofurika kwenye mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan leo September 04,2025.
 

Attachments

  • IMG-20250904-WA0612.jpg
    IMG-20250904-WA0612.jpg
    594.9 KB · Views: 31
  • IMG-20250904-WA0613.jpg
    IMG-20250904-WA0613.jpg
    442.3 KB · Views: 25
Mbeya Mjini kwa upendo, mapokezi makubwa na mkutano mzuri. Tutatiki mwezi Oktoba, kisha tuendelee kuifanya kazi tukitanguliza utu, ustawi, umoja, utulivu na amani ya nchi yetu. Mwenyezi Mungu awabariki sana.#haijapatakutokea#KurayakwanzakwaSamia
IMG-20250904-WA0246(1).jpg

IMG-20250904-WA0249.jpg
IMG-20250904-WA0259.jpg
IMG-20250904-WA0227.jpg
IMG-20250904-WA0246(1).jpg
 

Attachments

  • IMG-20250904-WA0121.jpg
    IMG-20250904-WA0121.jpg
    103.9 KB · Views: 31
  • IMG-20250904-WA0246.jpg
    IMG-20250904-WA0246.jpg
    639.8 KB · Views: 28
  • IMG-20250904-WA0078.jpg
    IMG-20250904-WA0078.jpg
    178.2 KB · Views: 25
  • IMG-20250904-WA0122.jpg
    IMG-20250904-WA0122.jpg
    120.2 KB · Views: 32
IMG-20250904-WA0259.jpg
IMG-20250904-WA0258.jpg
IMG-20250904-WA0249.jpg
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan alipowasili Mbeya Mjini kwenye Mkutano wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu leo September 04,2025.#HaijapatakutokeaKurayakwanzakwaSamia
 
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Matukio tofauti ya picha aliponadi Sera na Kuomba Kura kwa Wananchi wa Mlowo Jimbo la Mbozi Mkoani Songwe akiwa njiani kuelekea Mkoa wa Mbeya kwenye Mikutano ya Kampeni za Uchaguzi Mkuu leo September 04,2025.
#haijapatakutokea
#KurayakwanzakwaSamia
 

Attachments

  • 2025-09-04-142909172.mp4
    37.1 MB
Hakika mgombea Urais Dkt Samia Suluhu Hassan amekubarika Jimbo la Uyole
#haijapatakutokea
#Kurayakwanzakwasamia
 

Attachments

  • 5e706e8f-a2ad-47f8-a681-7bae327bc422-watermark.mp4
    14.9 MB
Maelfu ya Wananchi wa Wilaya ya Rungwe Mkoani Mbeya waliofurika kwenye mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan leo September 05,2025.
 

Attachments

  • IMG-20250905-WA0320(1).jpg
    IMG-20250905-WA0320(1).jpg
    748.2 KB · Views: 35
  • IMG-20250905-WA0316.jpg
    IMG-20250905-WA0316.jpg
    715.3 KB · Views: 21
  • IMG-20250905-WA0322.jpg
    IMG-20250905-WA0322.jpg
    567.7 KB · Views: 28
  • IMG-20250905-WA0310.jpg
    IMG-20250905-WA0310.jpg
    677.3 KB · Views: 28
Maelfu ya Wananchi wa Wilaya ya Rungwe Mkoani Mbeya waliofurika kwenye mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan leo September 05,2025.
Watu wa malori naona wanapiga hela sana kwa kusafirisha hiyo mizigo.
 
Leo September 05.2025 Mgombea wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasalimia wananchi wa Jimbo la Uyole
 

Attachments

  • VID-20250905-WA0024.mp4
    30.6 MB
𝗞𝗔𝗭𝗜 𝗜𝗠𝗘𝗔𝗡𝗭𝗔, 𝗗𝗞𝗧. 𝗦𝗔𝗠𝗜𝗔 𝗔𝗨𝗡𝗚𝗨𝗥𝗨𝗠𝗔 𝗨𝗬𝗢𝗟𝗘

Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. 𝗦𝗮𝗺𝗶𝗮 𝗦𝘂𝗹𝘂𝗵𝘂 𝗛𝗮𝘀𝘀𝗮𝗻 akizungumza na wananchi wa Uyole wakati akielekea Rungwe katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho mkoani Mbeya tarehe 05 Septemba, 2025.

Pamoja na mengine, Rais Dkt. Samia ameeleza makubwa atakayoyafanya mara baada ya wananchi hao kumpa kura nyingi za ndio ifikapo Oktoba 29.

Aidha, wananchi wa Uyole wamempa pongezi zake kwa kazi kubwa aliyoifanya katika kipindi cha miaka 4 ya Uongozi wake tangu aliposhika kiti cha Urais na kumuahidi kuendelea kumuamini na kumpigia kura ili aongoze tena gurudumu la maendeleo.

#SafariYaCCM
#SafariYaUshindi
#OktobaTunatiki✅
#KaziNaUtuTunasongaMbele
 

Attachments

  • IMG-20250905-WA0490.jpg
    IMG-20250905-WA0490.jpg
    476.5 KB · Views: 32
  • IMG-20250905-WA0488.jpg
    IMG-20250905-WA0488.jpg
    400.1 KB · Views: 25
  • IMG-20250905-WA0486.jpg
    IMG-20250905-WA0486.jpg
    783.5 KB · Views: 28
  • IMG-20250905-WA0474.jpg
    IMG-20250905-WA0474.jpg
    50.6 KB · Views: 30
  • IMG-20250905-WA0484.jpg
    IMG-20250905-WA0484.jpg
    434.6 KB · Views: 32
  • IMG-20250905-WA0482.jpg
    IMG-20250905-WA0482.jpg
    200.1 KB · Views: 32
  • IMG-20250905-WA0480.jpg
    IMG-20250905-WA0480.jpg
    214.4 KB · Views: 29
  • IMG-20250905-WA0484.jpg
    IMG-20250905-WA0484.jpg
    434.6 KB · Views: 33
Ukubwa wake uko wapi wakati Kinamwogopa Lissu na CHADEMA?
CCM ingekubali kupimana Ubavu na CHADEMA tujue Ukubwa wake ukoje!
 
𝗪𝗔𝗡𝗔𝗡𝗖𝗛𝗜 𝗪𝗔 𝗠𝗕𝗔𝗥𝗔𝗟𝗜 𝗪𝗔𝗢𝗘𝗡𝗘𝗦𝗛𝗔 𝗜𝗠𝗔𝗡𝗜 𝗞𝗨𝗕𝗪𝗔 𝗞𝗪𝗔 𝗥𝗔𝗜𝗦 𝗗𝗞𝗧. 𝗦𝗔𝗠𝗜𝗔

𝙒𝙖𝙢𝙚𝙢𝙥𝙤𝙠𝙚𝙖 𝙠𝙬𝙖 𝙠𝙪𝙢𝙬𝙞𝙢𝙗𝙞𝙖 𝙬𝙞𝙢𝙗𝙤 𝙬𝙖 "𝙃𝙖𝙠𝙪𝙣𝙖 𝙠𝙖𝙢𝙖 𝙈𝙖𝙢𝙖, 𝘾𝙝𝙖𝙥𝙖 𝙠𝙖𝙯𝙞 𝙈𝙗𝙖𝙧𝙖𝙡𝙞 𝙩𝙪𝙥𝙤 𝙣𝙖𝙬𝙚"

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. 𝗦𝗮𝗺𝗶𝗮 𝗦𝘂𝗹𝘂𝗵𝘂 𝗛𝗮𝘀𝘀𝗮𝗻 alipowasili na kupokelewa na maelfu ya waanchi wa Mbarali katika Uwanja wa Ubungo uliopo Ubaruku, Mbarali mkoani Mbeya, kwa ajili ya kuhutubia wananchi katika kampeni za CCM.

Maelfu ya wananchi wameendelea kuonesha ukubwa wa CCM na kukubalika kwa Mgombea wao Dkt. Samia kwa wao kujitokeza kwa wingi katika kila mahali alipotia hatua zake.

Rais Dkt. Samia yupo mkoani Mbeya kwa ajili ya mikutano ya kampeni ya kunadi sera za CCM kuelekea uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba tarehe 29 mwaka huu.

#SafariYaCCM
#SafariYaUshindi
#OktobaTunatiki✅
#KaziNaUtuTunasongaMbele
 

Attachments

  • IMG-20250905-WA1629.jpg
    IMG-20250905-WA1629.jpg
    404.7 KB · Views: 31
  • IMG-20250905-WA1619.jpg
    IMG-20250905-WA1619.jpg
    363.1 KB · Views: 25
  • IMG-20250905-WA1617.jpg
    IMG-20250905-WA1617.jpg
    353.4 KB · Views: 27
  • IMG-20250905-WA1627.jpg
    IMG-20250905-WA1627.jpg
    317.1 KB · Views: 32
  • IMG-20250905-WA1625.jpg
    IMG-20250905-WA1625.jpg
    366 KB · Views: 30
  • IMG-20250905-WA1623.jpg
    IMG-20250905-WA1623.jpg
    649.7 KB · Views: 31
Wingi wa wananchi kwenye mikutano ya kampeni ni ushahidi kuwa sera na maendeleo ya CCM yanagusa maisha ya watu moja kwa moja. Demokrasia inatoa nafasi kila mtu achague, sisi tumechagua maendeleo. 💚💛
#Haijapatakutokea
#Kurayakwanzakwasamia
 
Back
Top Bottom