kababu
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 1,834
- 913
kupiga kura ndio watashindwa km umeenda 10 km , kwenda kituon si ndio chapWamesombwa kutokea wapi?
kupiga kura ndio watashindwa km umeenda 10 km , kwenda kituon si ndio chapWamesombwa kutokea wapi?
Huko Kilosa inasemekana kuna waliobinuka wakiwa kwenye tipa la mchanga..fuso haziawabinua hao maskini waliosombwa kwa maelfu?
Chai,Ukirejea katika maandiko matakatifu, kitabu cha Mathayo 11: mstari wa 12 umeleza kuwa "Tangu siku za Yohana Mbatizaji hata sasa ufalme wa mbinguni hupatikana kwa nguvu, nao wenye nguvu wauteka"
Kwa maana hiyo , Wananchi wa Vwawa mkoani Songwe wamedhiirisha hilo kwa vitendo kwa kuonesha nguvu yao na wingi wao katika viwanja vya Takri kwa Mgombea wao Rais Dkt. Samia, hakika ukweli haujifichi na kizuri huwa kinajiuza chenyewe.
Vwawa wanasema Oktoba 29 ni mwendo wa kutiki wala hawatapepesa macho.
View attachment 3464044
View attachment 3464046
View attachment 3464048
>>>Katika sekta ya Elimu mkoa wa songwe ujenzi wa shule za msingi na awali umeongezeka kutoka 453 hadi 519
>>>Zaidi ya bilioni 40 zimetumika kwa ujenzi wa miundombinu ya barabara za TANROAD na Bilioni 43 zimetumika kwa TARURA kupanua na kurekebisha barabara za vijijini zaidi ya km 3,300
>>>Sekta ya Afya Vituo vya afya vya upasuaji vimeongezeka kutoka 1 hadi 8 na huduma ya CT SCAN inapatikana katika vituo 13 ikiwemo hospital ya Rufaa ya songwe
>>>>Sekta ya Maji,Usambazaji wa maji umeongezeka kutoka 54% hadi 78% kwa Mijini na kwa vijijini kutoka 45% hadi 51%
>>>>Sekta ya madini Dkt samia ametoa leseni ndogo 37 kwa wachimbaji wadogo na kuwa na uhakika wa maeneo ya uchimbaji
SONGWE LEO NI SHANGWE TU NA MGOMBEA WA URAIS WA CCM DKT SAMIA .
View attachment 3464331
ameifungua Songwe katika Sekta mbalimbali
kwanza kabisa