GE2025 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Samia Suluhu na Dkt. Emmanuel Nchimbi

GE2025 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Samia Suluhu na Dkt. Emmanuel Nchimbi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan haikuacha sekta yoyote nyuma; imegusa kila eneo la maendeleo ya nchi yetu. Tanzania tunajivunia na kutamba naye, na tunaahidi kumpa kura za ndiyo tena ifikapo Oktoba.
Kwa kazi na utu, tutaendelea kusonga mbele

#haijapatakutokea
#kurayakwanzakwasamia
 
HODI HODI SONGWE🥳🥳
Wakulima 109,373 mkoani Songwe tayari wamenufaika na mbolea ya ruzuku yenye thamani ya Tsh. Bilioni 75.14 iliyotolewa na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Dkt. Samia.

Matokeo yake?
✅ Gharama zimeshuka
✅ Uzalishaji umeongezeka
✅ Ajira mpya zimeibuka
✅ Kipato cha wananchi kimeimarika 💰

#KurayaKwanzaKwaSamia
#Haijapatakutokea
 
Moja ya uwekezaji mkubwa uliofanywa na Rais Samia Suluhu ni ujenzi wa shule ya sekondari ya wasichana ya Mkoa wa Songwe ya Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Jengo linaloonekana ni jengo la madarasa ya kisasa kabisa.

IMG-20250902-WA0066.jpg
 
DKT.NCHIMBI NDANI YA JIMBO LA KISESA, MEATU AKIENDELEA NA MIKUTANO KUOMBA KURA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU

MAMIA ya Wananchi wa Kata ya Mwandoya ndani ya Jimbo la Kisesa,wilayani Meatu wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi wakati akiwahutubia kwenye mkutano wa hadhara leo Septemba 2,2025,wakati akiendelea na Mikutano yake ya Kampeni mkoani Simiyu.

Katika mkutano huo wa kampeni,Balozi Dk.Emmanuel Nchimbi alimnadi Mbunge wa Jimbo hilo la Kisesa,Musa Godfrey Mbuga pamoja na diwani wa kata ya Lubiga,Juma Mpina ambaye ni kaka wa mbunge wa zamani wa jimbo laKisesa, Luaga Mpina

Pamoja na mambo mengine Balozi Dkt.Emmeanuel Nchimbi amekuwa akiinadi Ilani ya Uchaguzi Mkuu 2025-2030,ambayo kimsingi imelenga kwenda kuboresha maisha ya wananchi na ustawi wa Maendeleo katika miaka mitano ijayo huku akitumia nafasi hiyo kuwaomba wananchi kumchagua mgombea Urais wa CCM Rais Dk.Samia Suluhu,Mgombea mwenza wa Urais,wabunge na madiwani wa Chama hicho.
 
Attachments

  • IMG-20250902-WA1614.jpg
    IMG-20250902-WA1614.jpg
    58.3 KB · Views: 27
  • IMG-20250902-WA1618.jpg
    IMG-20250902-WA1618.jpg
    164.3 KB · Views: 27
  • IMG-20250902-WA1621.jpg
    IMG-20250902-WA1621.jpg
    175.3 KB · Views: 23
BALOZI NCHIMBI AUNGURUMA LALAGO - MASWA
Mgombea Mwenza wa CCM, Balozi Emmanuel Nchimbi, akizungumza na wananchi wa Lalago – Maswa katika mkutano wa hadhara.

Amewasilisha Ilani ya CCM 2025–2030, akieleza mafanikio yaliyopatikana Maswa chini ya uongozi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan na kuahidi maendeleo mapya yatakayogusa maisha ya kila mkulima, mfugaji, kijana na mfanyabiashara.

Maswa imeahidi kutiki Oktoba kwa Daktari Samia Suluhu Hassan
#OktobaTunaTiki ✅
#KazinaUtuTunasongaMbele
 
Attachments

  • 20250903_131421.jpg
    20250903_131421.jpg
    596.5 KB · Views: 33
  • 20250903_131402.jpg
    20250903_131402.jpg
    336.4 KB · Views: 26
  • 20250903_131406.jpg
    20250903_131406.jpg
    420.8 KB · Views: 27
𝗛𝗔𝗧𝗨𝗔 𝗭𝗔 𝗦𝗔𝗠𝗜𝗔 𝗭𝗜𝗠𝗘𝗕𝗔𝗥𝗜𝗞𝗜𝗪𝗔 𝗡𝗔 𝗪𝗔𝗡𝗔𝗡𝗖𝗛𝗜 𝗪𝗔 𝗩𝗪𝗔𝗪𝗔 - 𝗦𝗢𝗡𝗚𝗪𝗘

Umati huu wa maelfu ya Wananchi wa Vwawa katika kumsikiliza mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. 𝗦𝗮𝗺𝗶𝗮 𝗦𝘂𝗹𝘂𝗵𝘂 𝗛𝗮𝘀𝘀𝗮𝗻 unatosha kabisa kuthibitisha ya kwamba wananchi hawa wapo tayari kuendelea kumpa kura za Ndio Dkt. Samia kwa kazi ya kuendelea kuijenga nchi yetu ya Tanzania.

Haya yote yanatokana na namna ambvyo Dkt. Samia amekuwa akiliongoza Taifa letu katika misingi ya falsafa yake ya 4R iliyoleta matokea chanya ya kukubalika na kuaminika kwa Watanzania.

Huu ni muendelezo wa mikutano yake ya kampeni ndani ya mkoa wa Songwe leo tarehe 3 Septemba 2025

#KaziNaUtu
#CHAGUASAMIA
#CHAGUACCM

  • IMG-20250903-WA1257(1).jpg
    IMG-20250903-WA1257(1).jpg
    260.6 KB · Views: 21
  • IMG-20250903-WA1422(1).jpg
    IMG-20250903-WA1422(1).jpg
    661.3 KB · Views: 29
  • IMG-20250903-WA1251(1).jpg
    IMG-20250903-WA1251(1).jpg
    192.6 KB · Views: 25
  • IMG-20250903-WA1259(1).jpg
    IMG-20250903-WA1259(1).jpg
    237.6 KB · Views: 23
  • IMG-20250903-WA1263(1).jpg
    IMG-20250903-WA1263(1).jpg
    257.2 KB · Views: 31
  • IMG-20250903-WA1253(1).jpg
    IMG-20250903-WA1253(1).jpg
    250.4 KB · Views: 30
  • IMG-20250903-WA1247(1).jpg
    IMG-20250903-WA1247(1).jpg
    292.4 KB · Views: 29
  • IMG-20250903-WA1250(1).jpg
    IMG-20250903-WA1250(1).jpg
    238.5 KB · Views: 33
SA100 ataweka rekodi kwakuwa mgombea urais aliyetumia gharama kubwa zaidi ktk kampeni zake toka tupate uhuru, tafsiri yake ni kwamba anauzika kwa mbiiinde....propaganda lazima ziwe kiwango cha 5g!!.
 
Wajinga wakubwa nyie, nchi inaliwa na nyie mnapokea virushwa vya kipumbavu mnaanza kusifia upumbavu, wajukuu zenu watakuja kuishi maisha magumu sababu ya upumbavu wenu
 
SA100 ataweka rekodi kwakuwa mgombea urais aliyetumia gharama kubwa zaidi ktk kampeni zake toka tupate uhuru, tafsiri yake ni kwamba anauzika kwa mbiiinde....propaganda lazima ziwe kiwango cha 5g!!.
NDo maana walikusanya zile bilioni
 
fuso haziawabinua hao maskini waliosombwa kwa maelfu?
 
𝗨𝗙𝗔𝗟𝗠𝗘 𝗨𝗡𝗔𝗛𝗜𝗧𝗔𝗝𝗜 𝗪𝗔𝗧𝗨 𝗪𝗘𝗡𝗬𝗘 𝗡𝗚𝗨𝗩𝗨 𝗡𝗔 𝗛𝗔𝗣𝗔 𝗡𝗚𝗨𝗩𝗨 𝗬𝗔 𝗩𝗪𝗔𝗪𝗔 𝗜𝗠𝗘𝗝𝗜𝗗𝗛𝗜𝗜𝗥𝗜𝗦𝗛𝗔 𝗞𝗪𝗔 𝗥𝗔𝗜𝗦 𝗗𝗞𝗧. 𝗦𝗔𝗠𝗜𝗔

Ukirejea katika maandiko matakatifu, kitabu cha Mathayo 11: mstari wa 12 umeleza kuwa "Tangu siku za Yohana Mbatizaji hata sasa ufalme wa mbinguni hupatikana kwa nguvu, nao wenye nguvu wauteka"

Kwa maana hiyo , Wananchi wa Vwawa mkoani Songwe wamedhiirisha hilo kwa vitendo kwa kuonesha nguvu yao na wingi wao katika viwanja vya Takri kwa Mgombea wao Rais Dkt. Samia, hakika ukweli haujifichi na kizuri huwa kinajiuza chenyewe.

Vwawa wanasema Oktoba 29 ni mwendo wa kutiki wala hawatapepesa macho.

#SafariYaCCM
#SafariYaUshindi
#OktobaTunatiki✅
#KaziNaUtuTunasongaMbele
 
Attachments

  • IMG-20250903-WA1435.jpg
    IMG-20250903-WA1435.jpg
    103.3 KB · Views: 32
  • IMG-20250903-WA1442.jpg
    IMG-20250903-WA1442.jpg
    595.5 KB · Views: 28
  • IMG-20250903-WA1440.jpg
    IMG-20250903-WA1440.jpg
    593.3 KB · Views: 28
  • IMG-20250903-WA1438.jpg
    IMG-20250903-WA1438.jpg
    574 KB · Views: 31
  • IMG-20250903-WA1431.jpg
    IMG-20250903-WA1431.jpg
    94.6 KB · Views: 27
𝗨𝗙𝗔𝗟𝗠𝗘 𝗨𝗡𝗔𝗛𝗜𝗧𝗔𝗝𝗜 𝗪𝗔𝗧𝗨 𝗪𝗘𝗡𝗬𝗘 𝗡𝗚𝗨𝗩𝗨 𝗡𝗔 𝗛𝗔𝗣𝗔 𝗡𝗚𝗨𝗩𝗨 𝗬𝗔 𝗩𝗪𝗔𝗪𝗔 𝗜𝗠𝗘𝗝𝗜𝗗𝗛𝗜𝗜𝗥𝗜𝗦𝗛𝗔 𝗞𝗪𝗔 𝗥𝗔𝗜𝗦 𝗗𝗞𝗧. 𝗦𝗔𝗠𝗜𝗔

Ukirejea katika maandiko matakatifu, kitabu cha Mathayo 11: mstari wa 12 umeleza kuwa "Tangu siku za Yohana Mbatizaji hata sasa ufalme wa mbinguni hupatikana kwa nguvu, nao wenye nguvu wauteka"

Kwa maana hiyo , Wananchi wa Vwawa mkoani Songwe wamedhiirisha hilo kwa vitendo kwa kuonesha nguvu yao na wingi wao katika viwanja vya Takri kwa Mgombea wao Rais Dkt. Samia, hakika ukweli haujifichi na kizuri huwa kinajiuza chenyewe.

Vwawa wanasema Oktoba 29 ni mwendo wa kutiki wala hawatapepesa macho.

#SafariYaCCM
#SafariYaUshindi
#OktobaTunatiki✅
#KaziNaUtuTunasongaMbele
𝗛𝗔𝗧𝗨𝗔 𝗭𝗔 𝗦𝗔𝗠𝗜𝗔 𝗭𝗜𝗠𝗘𝗕𝗔𝗥𝗜𝗞𝗜𝗪𝗔 𝗡𝗔 𝗪𝗔𝗡𝗔𝗡𝗖𝗛𝗜 𝗪𝗔 𝗩𝗪𝗔𝗪𝗔 - 𝗦𝗢𝗡𝗚𝗪𝗘

Umati huu wa maelfu ya Wananchi wa Vwawa katika kumsikiliza mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. 𝗦𝗮𝗺𝗶𝗮 𝗦𝘂𝗹𝘂𝗵𝘂 𝗛𝗮𝘀𝘀𝗮𝗻 unatosha kabisa kuthibitisha ya kwamba wananchi hawa wapo tayari kuendelea kumpa kura za Ndio Dkt. Samia kwa kazi ya kuendelea kuijenga nchi yetu ya Tanzania.

Haya yote yanatokana na namna ambvyo Dkt. Samia amekuwa akiliongoza Taifa letu katika misingi ya falsafa yake ya 4R iliyoleta matokea chanya ya kukubalika na kuaminika kwa Watanzania.

Huu ni muendelezo wa mikutano yake ya kampeni ndani ya mkoa wa Songwe leo tarehe 3 Septemba 2025

#KaziNaUtu
#CHAGUASAMIA
#CHAGUACCM

Umati huu wa maelfu ya Wananchi wa Vwawa katika kumsikiliza mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. 𝗦𝗮𝗺𝗶𝗮 𝗦𝘂𝗹𝘂𝗵𝘂 𝗛𝗮𝘀𝘀𝗮𝗻 unatosha kabisa kuthibitisha ya kwamba wananchi hawa wapo tayari kuendelea kumpa kura za Ndio Dkt. Samia kwa kazi ya kuendelea kuijenga nchi yetu ya Tanzania.

Haya yote yanatokana na namna ambvyo Dkt. Samia amekuwa akiliongoza Taifa letu katika misingi ya falsafa yake ya 4R iliyoleta matokea chanya ya kukubalika na kuaminika kwa Watanzania.

Huu ni muendelezo wa mikutano yake ya kampeni ndani ya mkoa wa Songwe leo tarehe 3 Septemba 2025

#KaziNaUtu
#CHAGUASAMIA
#CHAGUACCM

Nina maswali ....
1. Samia anashindana na nani?
2. Kwanini mmesomba watu kutoka Igamba, Utambalila, Izyaniche na vijiji vya ndani huko na kuwaleta Vwawa?
3. Kwanini kila aliyepanda gari lililokuja kuwasomba Vijijini alipewa 5,000?

Jibu haya kwanzs halafu nitaendelea Swali la 4 mpaka 10.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
𝗩𝗪𝗔𝗪𝗔 𝗬𝗔𝗠𝗦𝗜𝗞𝗜𝗟𝗜𝗭𝗔 𝗡𝗔 𝗞𝗨𝗠𝗨𝗔𝗛𝗜𝗗𝗜 𝗥𝗔𝗜𝗦 𝗗𝗞𝗧. 𝗦𝗔𝗠𝗜𝗔 𝗠𝗜𝗧𝗔𝗡𝗢 𝗧𝗘𝗡𝗔 𝗬𝗔 𝗨𝗢𝗡𝗚𝗢𝗭𝗜 𝗪𝗔 𝗧𝗔𝗜𝗙𝗔

Mgombea wa Nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. 𝗦𝗮𝗺𝗶𝗮 𝗦𝘂𝗹𝘂𝗵𝘂 𝗛𝗮𝘀𝘀𝗮𝗻 akizungumza na wananchi wa Vwawa mkoani Songwe kwa kunadi sera na ahadi zake katika kuomba kura ili kuendelea kuongoza Taifa la Tanzania, leo tarehe 3 Septemba 2025.

Dkt. Samia ametoa shukrani kwa wananchi wa Vwawa kwa kujitokeza kwa wingi hali ambayo imezidi kumtia moyo na nguvu kubwa katika kuendelea kuwatumikia Watanzania kwa maslahi mapana ya Taifa letu.

Nao wananchi wa Vwawa wamemtoa shaka Dkt. Samia kwa kumthibitishia kwa kauli moja kwenda kufanya maamuzi sahihi siku ya tarehe 29 Oktoba kwa kumpa kura nyingi za ndio ili kupata ushindi mnono na wa kishindo.

#KaziNaUtu
#CHAGUASAMIA
#CHAGUACCM
 
Attachments

  • IMG-20250903-WA1587.jpg
    IMG-20250903-WA1587.jpg
    53.2 KB · Views: 23
  • IMG-20250903-WA1592.jpg
    IMG-20250903-WA1592.jpg
    243.4 KB · Views: 29
  • IMG-20250903-WA1594.jpg
    IMG-20250903-WA1594.jpg
    645.7 KB · Views: 30
  • IMG-20250903-WA1596.jpg
    IMG-20250903-WA1596.jpg
    574.5 KB · Views: 28
  • IMG-20250903-WA1435.jpg
    IMG-20250903-WA1435.jpg
    103.3 KB · Views: 32
Back
Top Bottom