GE2025 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Samia Suluhu na Dkt. Emmanuel Nchimbi

GE2025 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Samia Suluhu na Dkt. Emmanuel Nchimbi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ndugu zetu nawasihi kwa mara nyingine tena tufanye lile linalotuhusu kwenye uchaguzi huu. Ni wakati wetu huu.
Kwanza rudi darasani, ukishajiweza ndio uje ufanye kampeni, maana hata hicho chuo unachokiomba kura hukijui. Chuo gani kiliwahi kuitwa ADM?? Akili zenu zipo kwenye wizi wa kura tu.
 
Wasomi wa Mzumbe huwezi kuwauzia huyu mgombea wako. Bila shaka watakua majumbani kwao na familia zao siku ya uchavuzi bandia
 
Tunamchagua Dkt. Samia Suluhu kuwa Rais kwa uongozi wa vitendo, mshikamano wa taifa, maendeleo ya wananchi, diplomasia imara na haki kwa wote.

Dkt. Nchimbi kama Makamu wa Rais kwa uzoefu, uadilifu na mshirika thabiti wa maendeleo.
#Haijapatakutokea #kurayakwanzakwasamia
 
ifikapo tar 29 oktoba unatakiwa kuwa Makini kuangalia balot paper Yako ya chama cha mapinduzi Kisha utakwenda kuweka ✅ kwa mgombea wetu Dkt Samia Suluhu Hassan .

Oktoba tunatiki ✅✅✅✅✅


#haijapatakutokea
#KurayakwanzakwaSamia
 

Attachments

  • IMG-20250901-WA0024.jpg
    IMG-20250901-WA0024.jpg
    225.6 KB · Views: 20
Mikutano ya kisayansi ya kampeni za mgombea urais wa CCM Dr.Samia Suluhu Hassan kwa upande moja na mgombea mwenza Dr.Emmanuel John Nchimbi kwa upande mwingine, imepambwa kwa tsunami na mafuriko ya wananchi waliojawa shauku na hamasa ya kuwona kuwasikiliza, na hatimae kuwapigia kura nyingi sana za ushindi wa kishindo viongozi hao wa kitaifa pamoja na madiwani na wabunge wote wa CCM.

Hakuna dalili wala viashiria vya upinzani kuambulia kiti chochote, mahali popote uchaguzi mkuu wa October 29,2025.

Kumbuka,
miongoni mwa malengo ya kuanzishwa kwa chama cha Mapinduzi ni pamoja na kushiriki chaguzi, kushinda uchaguzi, kukamata dola, kuunda Serikali, kuongoza nchi, kuwatumikia wananchi na kuwaletea waTanzania wote maendeleo endelevu ya kijamii, kisiasa na kiuchumi na si vinginevyo.🐒

Mungu Ibariki CCM
Mungu Ibariki Tanzania.

Kidumu chama cha Mapinduzi.

IMG-20250830-WA0013.jpg
 
Mikutano ya kisayansi ya kampeni za mgombea urais wa CCM Dr.Samia Suluhu Hassan kwa upande moja na mgombea mwenza Dr.Emmanuel John Nchimbi kwa upande mwingine, imepambwa kwa tsunami na mafuriko ya wananchi waliojawa shauku na hamasa ya kuwona kuwasikiliza, na hatimae kuwapigia kura nyingi sana za ushindi wa kishindo viongozi hao wa kitaifa pamoja na madiwani na wabunge wote wa CCM.

Hakuna dalili wala viashiria vya upinzani kuambulia kiti chochote, mahali popote uchaguzi mkuu wa October 29,2025.

Kumbuka,
miongoni mwa malengo ya kuanzishwa kwa chama cha Mapinduzi ni pamoja na kushiriki chaguzi, kushinda uchaguzi, kukamata dola, kuunda Serikali, kuongoza nchi, kuwatumikia wananchi na kuwaletea waTanzania wote maendeleo endelevu ya kijamii, kisiasa na kiuchumi na si vinginevyo.

Mungu Ibariki CCM
Mungu Ibariki Tanzania.

Kidumu chama cha Mapinduzi.
Vipi hayo mafuriko hayajasomba k......undu lako mbwa?
 
Shida sio kujaza shida watampugia kura au walienda kusikiliza tu afu za ndani kbs wanalipwa ten ten kuja kusikiliza tu. Amka bado uko nje ya muda hela zitapigwa na hakun atakae chagua huyo raisi
 
Una Upuuzi mwingi sana. Hao watu wengi wako wapi?? 🤔 🤔
 
Back
Top Bottom