GE2025 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Samia Suluhu na Dkt. Emmanuel Nchimbi

GE2025 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Samia Suluhu na Dkt. Emmanuel Nchimbi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Inakadiriwa zaidi ya watu 400,000 wamehudhuria kwenye ufunguzi wa kampeni za uchaguzi za CCM 2025 pale Tanganyika Packers.

Mafuriko ya watu kwenye mkutano huo ni ishara ya kwamba, Watanzania wamemshiba haswa kiongozi wao, Rais Samia Suluhu Hassan.
View attachment 3456406
View attachment 3456407
Ziko propaganda za wapinzani na wahafidhina waliokuwa wanasema kwamba CCM haina mvuto mtaani, wengi husema hivi kutokana na hali ya mtandaoni, kutokana na posts za Mange na wanaharakati wengine uchwara, bila kujua kwamba, nguvu ya kweli ya chama cha siasa hapo mitandaoni, ipo mitaani ambapo wapiga kura wapo.
View attachment 3456409
Watoto laki 3 😹
 
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na maelfu ya Wananchi wa Dakawa Wilaya ya Mvomero Mkoani Morogoro waliofurika kwenye Mkutano wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu leo August 30,2025.
.
.
.
#Haijapatakutokea
#KurayakwanzaKwaSamia
IMG-20250830-WA1860.jpg
 
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na maelfu ya Wananchi wa Dakawa Wilaya ya Mvomero Mkoani Morogoro waliofurika kwenye Mkutano wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu leo August 30,2025.
.
.
.
#Haijapatakutokea
#KurayakwanzaKwaSamiaView attachment 3459137
Sawa

Kapendeza
 
Nasikitika kuna ndugu zetu hapo wamelazimishwa kubebwa kwenye guta na toroli ili wakajaze uwanja
 
Maelfu ya Wananchi wa Chemba wamejitokeza kwa bashasha kubwa, nderemo na vifijo kumlaki na kumsikiliza Mgombea wetu wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. 𝗦𝗮𝗺𝗶𝗮 𝗦𝘂𝗹𝘂𝗵𝘂 𝗛𝗮𝘀𝘀𝗮𝗻 akiwa katika muendelezo wa mikutano ya kampeni za Urais za CCM.

𝘞𝘢𝘯𝘢𝘯𝘤𝘩𝘪 𝘸𝘢𝘮𝘦𝘮𝘵𝘩𝘪𝘣𝘪𝘵𝘪𝘴𝘩𝘪𝘢 𝘔𝘨𝘰𝘮𝘣𝘦𝘢 𝘮𝘢𝘮𝘣𝘰 𝘮𝘢𝘸𝘪𝘭𝘪 𝘮𝘢𝘬𝘶𝘣𝘸𝘢
1 𝘩𝘢𝘸𝘢𝘮𝘥𝘢𝘪
2 𝘞𝘢𝘯𝘢 𝘥𝘦𝘯𝘪 𝘭𝘢𝘰 𝘬𝘸𝘢𝘬𝘦 𝘭𝘢 𝘬𝘶𝘩𝘢𝘬𝘪𝘬𝘪𝘴𝘩𝘢 𝘸𝘢𝘵𝘢𝘮𝘱𝘢 𝘬𝘶𝘳𝘢 𝘯𝘺𝘯𝘨𝘪 𝘻𝘢 𝘯𝘥𝘪𝘰 𝘖𝘬𝘵𝘰𝘣𝘢 29

#Haijapatakutokea
#Kurayakwanzawasamka
 
Wanakibaigwa wameweza kuonesha upendo mkubwa kwa kujitokeza kwa wingi kuja kusikiliza sera za mgombea wa chama cha mapinduzi mama yetu samia suluhu. Ni maelfu ya wananchi kutokea maeneo mbalimbali
IMG-20250831-WA0026.jpg
 
Binafsi sioni hata umuhim wa kuchangisha zile Bilioni Mia, sababu kwaza mgombea no peke ake na mbili hakukua na ulazima wa kampeni sababu ya mifumo inaweza kutumika kuprint kura za uongo vas akapita kwa asilimia 99.9 akamzodi hata magufuli chuma cha pua.

Binafsi naona sera zao ni ushubwada tu. Ila ninahitaji kupata material kutoka kwawengine nami pia niwape wengine niendelee kusambaza Elim.

Mfano Leo akiwa DODOMA kwenye kampeni zake kaahidi matrecta millioni kumi. Je linatekelezeka hilo ????

Juzi anaahidi watoto wajue kusoma ifikapo datasa la tatu huku kuna deficity yawaalimu 350,000 anasema ataajiri walim 70000 pekee.

Pia kwenye uzinduzi wa kampeni aliahidi kuanzisha mitaa ya viwanda, kitu ambacho kila mkoa na wilaya tayari kuna sight za viwanda tayari.

Aliahidi kuanzisha usikilizqji wakero wakati tayari Alisha ua huo utaratibu.

Tupeane sera za maji taka mlizozisikia huko jamani ili tuendelea kuijua namna inavotuhadaa na tuendelee kupeana Elim ili kuandaa mapinduzi ya kweli ya fikra.

#VIVA tanzania VIVA aluta continua
#NRNE
#VIVA POLEPOLE VIVA
#FREE LISSU
#FREE CHADEMA
#FREE CCM

LETS DEMOCRACY RULE
 
 
Wananchi wanahitaji ,Siasa sio nguvu na misuli, bali ni busara ya akili. Haitaki mkurupuko, bali inahitaji utulivu na subira. Haitaki ufuate upepo au uongozwe kiholela, bali inataka uzingatie miongozo na kanuni#Haijapatakutokea#KurayakwanzakwaSamia🇹🇿🇹🇿
 

Attachments

  • IMG-20250831-WA0014.jpg
    IMG-20250831-WA0014.jpg
    158.9 KB · Views: 24
  • 2025-08-31-165441144.mp4
    1.3 MB
Labda auze bodaboda na baiskeli zote alizogawa nchi nzima.
 
Ndugu zetu nawasihi kwa mara nyingine tena tufanye lile linalotuhusu kwenye uchaguzi huu. Ni wakati wetu huu.
NB: Isomeke IDM sio ADM
 
Back
Top Bottom