GE2025 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Samia Suluhu na Dkt. Emmanuel Nchimbi

GE2025 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Samia Suluhu na Dkt. Emmanuel Nchimbi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
44B394AB-4478-42DC-BC64-93CBB660AB01.jpeg
 

 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Leo tare 29 mwezi wa nane mwenyekiti wa chama Cha mapinduzi taifa afanya ziara ya kampen mkoa wa Morogoro ambapo ametoa ahadi mbali mbali ikiwemo kutoka ajira kwa walimu wa sayansi na hisabati pamoja na kuboresha utoaji wa huduma za afya
 

Attachments

  • IMG-20250829-WA0141.jpg
    IMG-20250829-WA0141.jpg
    187.3 KB · Views: 23
Kutokea Ngerengere ,Morogoro mjini ,Mvomero Dumila na Sasa Kilosa
HII NI AHADI YA KAZI NA UTU
IMG-20250830-WA0035.jpg

Hapa unauona mji mkongwe wa Kilosa ukirejeshewa hadhi yake.
Maghala ya bidhaa za kilimo yakienda kujengea ili kuichukua bidhaa shambani na kuipandisha SGR.
Hapa pia unamuona Mama Samia akienda kutatua Kero ya muda mrefu sana sana toka enzi za Waziri wa fedha mustafa mkullo ya kutamani kuijenga barabara ya Kilosa ulaya mikumi.
Mwamba Sana Shaka Hamdu Shaka ameendelea kuituliza migogoro ya Wakulima na wafugaji huku Rais ajaye akienda kuongeza na kurasimisha maeneo ya kilimo na ufugaji.
Kwa mwenye kumbukumbu Enzi za Waziri mkuu Fredrick Sumaye chini ya BWM(RiP) mauaji na mafuriko ndio ilikuwa utambulisho wa Kilosa ...ila kwa sasa Kilosa inaenda kutambulika kama HUB muhimu ya kupeleka mjini na nje ya nchi Nafaka,mbogamboga nyama fresh e.t.c Zikiwa zimepigwa kiyoyozi cha Umeme wa bwala la mwalimu nyerere.
CCM OYEEE!
 

Attachments

Hivyo viwanda anavyohubiri huyu BIBI SAMIA ni Vipi haswa?
Yaani watu wanakufa kwa kukosa kwa kukosa matibabu yy anasema baada ya siku 100?
Pumbv
 
Kero ya wakulima na wafugaji inafanyiwa mzaha sana at a cost of wakulima.Mgombea ubunge ajiandae kujibu
 
Kero ya wakulima na wafugaji inafanyiwa mzaha sana at a cost of wakulima.Mgombea ubunge ajiandae kujibu
Soma hapo kwenye ahadi mbona naona ni solution muhimu sana.
 
IMG-20250830-WA0336.jpg
IMG-20250830-WA0343.jpg

Kilosa kampeni za Mgombea Urais wa CCM Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan zafunga kazi,

Itakumbukwa Wilaya hii iko chini DC Shaka Hamdu Shaka na Mbunge Prof Palamagamba Mwaluko Kabudi,

Sasa naamini CCM ndio chama kinachopendwa zaidi Duniani.
 
Back
Top Bottom