GE2025 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Samia Suluhu na Dkt. Emmanuel Nchimbi

GE2025 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Samia Suluhu na Dkt. Emmanuel Nchimbi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Maelfu ya Wananchi wa Wilaya ya Rungwe, Mkoani Mbeya, wamejitokeza kwa wingi kushiriki katika Mkutano wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu, uliohudhuriwa na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Septemba 05, 2025

#haijapatakutokea
#KurayakwanzaKwaSamia
 
🌿 Mbeya – Uyole
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM),
Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan,
amepokelewa kwa shangwe na nyomi kubwa la wananchi wa Jimbo la Uyole, waliojitokeza barabarani kumlaki kwa furaha kubwa wakati wa Mikutano ya Kampeni za Uchaguzi Mkuu leo Septemba 05, 2025.

✨ Tukio hili limeonesha mapenzi, mshikamano na imani kubwa ya wananchi kwa kiongozi wao
 
Mada Maalum itakayozungumzia ziara nzima kwenye mchakato wa kampeni za mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan na Mgombea Mwenza Dkt. Emmanuel Nchimbi.

Agosti 27, 2025

Mwenyekiti wa INEC, Jaji Mstaafu Jacobs Mwambegele kwa mamlaka aliyopewa amemteua Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Dkt. Emmanuel Nchimbi kuwa mgombea wa kiti cha Makamu wa Rais kupitia CCM.

Pia soma > GE2025 - Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi yawateua Samia na Nchimbi kugombea urais kwa tiketi ya CCM


Agosti 30, 2025, Dakawa, Mvomero, Morogoro

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema endapo Watanzania watakiunga mkono chama hicho, kitahakikisha kinaijenga Tanzania ambayo wananchi wanaitaka.

Dkt. Samia aliyasema haya wakati akizungumza na wakazi wa Mvomero katika Uwanja wa Dakawa Sokoine, ikiwa ni sehemu ya muendelezo wa kampeni za chama hicho.

"Jambo lingine tutajenga njia kubwa ya usafirishaji wa umeme wa msongo wa kilovoti 220 kutoka Morogoro kwenda Dumila, umeme ule utapita Mvomero na utawanufaisha Wanamvomero, uhakika wa umeme utakwenda kuwepo"

"Ndugu zangu, baada ya kusema hayo na mengine yatakayojitokeza tutakayoyatekeleza, niwaombe sasa tusimame pamoja na kukiunga mkono Chama cha Mapinduzi ili tuendelee na kasi ya kuijenga Tanzania tunayoitaka,"

"Niwaombe sasa, tusimame pamoja na kukiunga mkono Chama Cha Mapinduzi ili tuendelee na kasi ya kuijenga Tanzania tunayoitaka. Tumesema ikifika 2050, Dira yetu inatuambia tuwe tumefika kwenye Tanzania tunayoitaka- Tanzania ya uchumi wa kipato cha kati lakini cha ngazi ya juu, Tanzania ambayo hakuna atakayelia na huduma za afya wala huduma za elimu wala atakayekosa maji bora na kukosa umeme wa kufanyia kazi zake na kumwangazia pahali alipo. Hiyo ndiyo Tanzania tunayoitaka, Tanzania ambayo uchumi wake utasimama na kujitegemea, Tanzania ambayo hatutaishi wala kufanya shughuli zetu za maendeleo kwa mikopo mikubwa, hiyo ndiyo Tanzania tunayoitaka, ifikapo mwaka 2050, safari yake inaanza miaka mitano inayokuja."


Kilosa

"Kwanza ninajua, bado kuna barabara ambazo zinataka kufanyiwa kazi, Barabara ya Kilosa- Ulaya-Mikumi, tumejenga sehemu, sehemu bado hatujajenga. Ninataka niwaambie miaka mitano ijayo tunakwenda kuifanyia kazi barabara hii. Lakini jingine ni kwamba kuna ushoroba ilikopita Reli ya SGR, ushoroba ule tunakwenda kuujenga viwanda na maghala ili uwe ushoroba wa biashara na kwa ilivyo bahati, ndani ya Wilaya ya Kilosa mna vituo viwili vya SGR kwahiyo jitayarisheni kwa fursa zilizoko kule, zile ni fursa za biashara na ninawaomba Wanakilosa mzitumie na msiwaache watu kutoka maeneo mengine kuja kuzitumia"
Wewe una elimu gani?
Ulisomea nn ukiwa chuo?
Una umri gani?
Unajishughulisha na nn kwa sasa?
Ulishawahi kufanya RESEARCH? Siyo kudesa ya mwenzio kufanya namnanisha?
 
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasalimia Wananchi wa Ubaruku Wilaya ya Mbarali Mkoani Mbeya wakati wa Mkutano wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu leo September 05,2025
#Haijapatakutokea
#KurayakwanzaKwaSamia
 
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesalimiana na maelfu ya Wananchi wa Rungwe, Mkoani Mbeya, waliofurika barabarani kumlaki katika Mkutano wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu leo, Septemba 05, 2025

Screenshot_20250905-161304_Instagram.jpg
 
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasalimia Wananchi wa Ubaruku Wilaya ya Mbarali Mkoani Mbeya wakati wa Mkutano wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu leo September 05,2025. #KurayakwanzaKwaSamia #haijapatakutokea
 
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasalimia Wananchi wa Ubaruku Wilaya ya Mbarali Mkoani Mbeya wakati wa Mkutano wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu leo September 05,2025.
 

Attachments

  • IMG-20250905-WA0734.jpg
    IMG-20250905-WA0734.jpg
    76 KB · Views: 22
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasalimia Wananchi wa Ubaruku Wilaya ya Mbarali Mkoani Mbeya wakati wa Mkutano wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu leo September 05,2025.
 

Attachments

  • IMG-20250905-WA0734.jpg
    IMG-20250905-WA0734.jpg
    76 KB · Views: 21
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesalimiana na maelfu ya Wananchi wa Rungwe, Mkoani Mbeya, waliofurika barabarani kumlaki katika Mkutano wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu leo, Septemba 05, 2025.
#haijapatakutokea
#KurayakwanzaKwaSamia
 
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Matukio tofauti ya picha aloposhiriki Mkutano wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu Wilaya ya Rungwe Mkoani Mbeya leo September 05,2025.
Maelfu ya Wananchi wa Wilaya ya Rungwe Mkoani Mbeya
IMG-20250905-WA0180.jpg
IMG-20250905-WA0182.jpg
IMG-20250905-WA0184.jpg


waliofurika kwenye mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan leo September 05,2025.
 
🌿 Mbeya – Uyole
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM),
Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan,
amepokelewa kwa shangwe na nyomi kubwa la wananchi wa Jimbo la Uyole, waliojitokeza barabarani kumlaki kwa furaha kubwa wakati wa Mikutano ya Kampeni za Uchaguzi Mkuu leo Septemba 05, 2025.

✨ Tukio hili limeonesha mapenzi, mshikamano na imani kubwa ya wananchi kwa kiongozi wao
 
Wasalaam.
Wana ccm wanashangilia kila neno kama nyumbu mbugani.
 

Attachments

  • 0b3cafe6c4e15e08dcbdd28ef3dd472e_1757082668095.mp4
    3.4 MB
Back
Top Bottom