GE2025 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Samia Suluhu na Dkt. Emmanuel Nchimbi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
kushinda atashinda maana hana mshindani ila uwo ushindi mkubwa sjui ndo ushindi gan wakat huna wakushindana nae

Ata iyo nguvu wanayoipokeza kufanya kampeni izo pesa wangepeleka tu kwenye kujenga ofisi za Ccm za kata
 
Wewe endelea kuchezea mbususu ya mkeo
 
Nchi imejaa watu waoga, keyboard warriors, wanafiki na kizalendo ya mdomoni tu ila kiuhalisia ni Majinga na Maoga ya kupindukia

Lissu yupo hapo Tz miezi sasa,, kama mnapenda haki why msimpiganie, anabaki kuhangaika mwenyewe???

WANA MTANDAO endeleeni kuwapiga haya matanzania Majinga ambayo hayana akili, teka chukueni rasilimali zao, nchi ibaki na umaskini wa kutupwa mpaka akili iwakae sawa.

Shauri yenu!

By the way nipo zangu U.S.A hapa
Swali mjaribu,
Samia anashindana na nani, wa chama gani?
 
Nchi imejaa watu waoga, keyboard warriors, wanafiki na kizalendo ya mdomoni tu ila kiuhalisia ni Majinga na Maoga ya kupindukia

Lissu yupo hapo Tz miezi sasa,, kama mnapenda haki why msimpiganie, anabaki kuhangaika mwenyewe???

WANA MTANDAO endeleeni kuwapiga haya matanzania Majinga ambayo hayana akili, teka chukueni rasilimali zao, nchi ibaki na umaskini wa kutupwa mpaka akili iwakae sawa.

Shauri yenu!

By the way nipo zangu U.S.A hapa
Kwa nini asishinde wakati anashindana na Yeye Mwenyewe
 
Urais alionao hadi sasa ni kama kauokota tu , hata huu atakaoshinda ni sawa na kuuokota tu.

Hakuna mwanasiasa muoga kama huyo.
 
Nchi imejaa watu waoga, keyboard warriors, wanafiki na kizalendo ya mdomoni tu ila kiuhalisia ni Majinga na Maoga ya kupindukia

Lissu yupo hapo Tz miezi sasa,, kama mnapenda haki why msimpiganie, anabaki kuhangaika mwenyewe???

WANA MTANDAO endeleeni kuwapiga haya matanzania Majinga ambayo hayana akili, teka chukueni rasilimali zao, nchi ibaki na umaskini wa kutupwa mpaka akili iwakae sawa.

Shauri yenu!

By the way nipo zangu U.S.A hapa
Atashinda akishindana na nani
 
Sasa kama atashinda unakuja kutupigia kelele hapa nini?Kanywe nae chai
 
Back
Top Bottom