GE2025 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Samia Suluhu na Dkt. Emmanuel Nchimbi

GE2025 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Samia Suluhu na Dkt. Emmanuel Nchimbi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Uwezo wa kuongea Hana. Zero public speaking ability. Hawezi hata kunadi running manifesto(ilani). Kila kitu anasoma.

Yaani umati ule ndiyo wa kwendea na style ile kweli? Watu wamesombwa kwenda kusomewa risala?.
Basi bwana. Kazi kwenu watanzania. Kuuza au kubakiza nchi.
 
Asilimia kubwa ya wataopiga kura msimu huu wanamkubali Samia.
 
Inakadiriwa zaidi ya watu 400,000 wamehudhuria kwenye ufunguzi wa kampeni za uchaguzi za CCM 2025 pale Tanganyika Packers.

Mafuriko ya watu kwenye mkutano huo ni ishara ya kwamba, Watanzania wamemshiba haswa kiongozi wao, Rais Samia Suluhu Hassan.
View attachment 3456406
View attachment 3456407
Ziko propaganda za wapinzani na wahafidhina waliokuwa wanasema kwamba CCM haina mvuto mtaani, wengi husema hivi kutokana na hali ya mtandaoni, kutokana na posts za Mange na wanaharakati wengine uchwara, bila kujua kwamba, nguvu ya kweli ya chama cha siasa hapo mitandaoni, ipo mitaani ambapo wapiga kura wapo.
View attachment 3456409
Hakuna vibe hata kidogo, ukiwatizama watu unawaona kabisa wapo hapo kimwili tu wala sio kihisia.
 
Huu ni ukubwa wa Chama cha Mapinduzi.
 

Attachments

  • Gzcbh7ZXoAAuHdR.jpeg
    Gzcbh7ZXoAAuHdR.jpeg
    94 KB · Views: 33
  • GzcbiE8WMAAvpEp.jpeg
    GzcbiE8WMAAvpEp.jpeg
    214.4 KB · Views: 34
  • GzcbiFpXEAA_gYL.jpeg
    GzcbiFpXEAA_gYL.jpeg
    221.7 KB · Views: 31
  • GzcbiCJW0AAfifn.jpeg
    GzcbiCJW0AAfifn.jpeg
    226.7 KB · Views: 33
  • Tunazima zote.mp4
    59.8 MB
  • WhatsApp Image 2025-08-28 at 4.45.12 PM.jpeg
    WhatsApp Image 2025-08-28 at 4.45.12 PM.jpeg
    439.2 KB · Views: 31
  • GzcXalJW0AAhZA_.jpeg
    GzcXalJW0AAhZA_.jpeg
    537.4 KB · Views: 30
  • GzcXalUXIAA7pLg.jpeg
    GzcXalUXIAA7pLg.jpeg
    577.4 KB · Views: 31
  • GzcXalOXoAAv566.jpeg
    GzcXalOXoAAv566.jpeg
    416.6 KB · Views: 29
  • GzcXalRWsAAcJg9.jpeg
    GzcXalRWsAAcJg9.jpeg
    477.7 KB · Views: 30
Ulishawahi KUJICHUA/KUPIGA PUNYETO?
YULE MWANAMKE/MWANAUME UNAYEMUONA PALE NDIYE?
 
Ungekuwepo kariakoo muda huu uone mabanda ya machinga yalivyo kosa watu usingeandika habari hizi za kupendwa
Yani chama kinapendwa kisha kikodi mabus na wasanii kuwapeleka kwenye mkutano? Hajui maana ya kupendwa huyu .
Hivi simba vs yanga zikicheza watu wanaenda wenyewe au wanasombwa
 
Akihutubia, Rais Samia alitangaza hatua ya kihistoria katika sekta ya afya, akisema kuwa hakuna maiti yoyote itakayoshikiliwa hospitali tena, hatua ambayo inalenga kuboresha huduma za afya na kuhakikisha heshima pamoja na usalama wa wafu nchini.
 
Akihutubia, Rais Samia alitangaza hatua ya kihistoria katika sekta ya afya, akisema kuwa hakuna maiti yoyote itakayoshikiliwa hospitali tena, hatua ambayo inalenga kuboresha huduma za afya na kuhakikisha heshima pamoja na usalama wa wafu nchini.
kwenye hili nimefurahi sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Akihutubia, Rais Samia alitangaza hatua ya kihistoria katika sekta ya afya, akisema kuwa hakuna maiti yoyote itakayoshikiliwa hospitali tena, hatua ambayo inalenga kuboresha huduma za afya na kuhakikisha heshima pamoja na usalama wa wafu nchini.
shida siyo maiti, tunataka HAKI , maiti wacha wakae mortuary
 
Akihutubia, Rais Samia alieleza kuwa Serikali ya Awamu ya Sita imefanya mabadiliko ya Sheria ya Habari ya mwaka 2016, ikiondoa kifungo kilichokuwa kinawazuia magazeti kama Mawio, MwanaHalisi na Tanzania Daima kuchapisha, kwani yalikuwa na mrengo wa upinzani kila wakati. Aliongeza kuwa serikali imetoa jumla ya leseni 1,068, zikiwemo magazeti na majarida 356, redio 247, televisheni 68, redio na TV za mtandaoni 325, pamoja na blogu 72, hatua inayolenga kuimarisha uhuru wa habari na utoaji wa taarifa kwa wananchi.
 
Nadhani kuna mambo yameongelewa huko ya kufurahisha. Nikasema ufunguzi umewagusa wengi sana maana hadi humo wanapiga makofi kupongeza.

Hilo ni jambo la kutia moyo sana. Yaani watu kila sehemu wanashangilia hutuba za ufunguzi wa Kampeni.
 
Back
Top Bottom