Magufuli 05
JF-Expert Member
- May 7, 2023
- 1,990
- 3,824
Hii sio hoja, Watu wanaenda sababu wanapenda swala la wameendaje sio issueAliyejaa kwenye mioyo anawezaje kusomba watu nchi nzima kwa malori na Mabasi?
Hakuna vibe hata kidogo, ukiwatizama watu unawaona kabisa wapo hapo kimwili tu wala sio kihisia.Inakadiriwa zaidi ya watu 400,000 wamehudhuria kwenye ufunguzi wa kampeni za uchaguzi za CCM 2025 pale Tanganyika Packers.
Mafuriko ya watu kwenye mkutano huo ni ishara ya kwamba, Watanzania wamemshiba haswa kiongozi wao, Rais Samia Suluhu Hassan.
View attachment 3456406
View attachment 3456407
Ziko propaganda za wapinzani na wahafidhina waliokuwa wanasema kwamba CCM haina mvuto mtaani, wengi husema hivi kutokana na hali ya mtandaoni, kutokana na posts za Mange na wanaharakati wengine uchwara, bila kujua kwamba, nguvu ya kweli ya chama cha siasa hapo mitandaoni, ipo mitaani ambapo wapiga kura wapo.
View attachment 3456409
Umejuaje?Wewe unatumika Vibaya na ukimaliza jambo Lao wanakudampo Ona huruma kwa kizazi chako kijacho.
Yani chama kinapendwa kisha kikodi mabus na wasanii kuwapeleka kwenye mkutano? Hajui maana ya kupendwa huyu .Ungekuwepo kariakoo muda huu uone mabanda ya machinga yalivyo kosa watu usingeandika habari hizi za kupendwa
kwenye hili nimefurahi sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaAkihutubia, Rais Samia alitangaza hatua ya kihistoria katika sekta ya afya, akisema kuwa hakuna maiti yoyote itakayoshikiliwa hospitali tena, hatua ambayo inalenga kuboresha huduma za afya na kuhakikisha heshima pamoja na usalama wa wafu nchini.
shida siyo maiti, tunataka HAKI , maiti wacha wakae mortuaryAkihutubia, Rais Samia alitangaza hatua ya kihistoria katika sekta ya afya, akisema kuwa hakuna maiti yoyote itakayoshikiliwa hospitali tena, hatua ambayo inalenga kuboresha huduma za afya na kuhakikisha heshima pamoja na usalama wa wafu nchini.
hili lilikuwa tatizo kubwa sanashida siyo maiti, tunataka HAKI , maiti wacha wakae mortuary
hili lilikuwa baya sanaKujitoa ufahamu tuu, labda maiti zao.