GE2025 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Samia Suluhu na Dkt. Emmanuel Nchimbi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hivi Samia akikumbuka ile ibara ya Katiba iliyomwezesha kupata urais atakuwa anajisikiaje.

Maana ni hiyo hiyo inayoweza kumwezesha Nchimbie kuchukua uraisi.

Hiyo ibara inaogofya kwa Rais aliyeko madarakani na inatamanisha kwa Makamu wa Rais.
 
CCM ni mojawapo Chama kizuri na kinapendwa na watanzania kimeshika madaraka zaidi ya miaka
60 yaani bado miaka 40 kitimize miaka 100 nasema kidumu chama cha mapinduzi na mapinduzi yapo CCM
 
CCM inashindana na chama kipi?
 
Ccm inashindana na chama Gani lazima mshinde kwa kishindo na tayari NIDA zetu zimeshapiga kura kwa mitano tena
 
CCM ni mojawapo Chama kizuri na kinapendwa na watanzania kimeshika madaraka zaidi ya miaka
60 yaani bado miaka 40 kitimize miaka 100 nasema kidumu chama cha mapinduzi na mapinduzi yapo CCM
jitekenyeni na mcheke wenyewe

Chama pendwa kinategemea TUME, mahakama feki na mapolisi kushinda

Oktoba nafungia kura yangu kwenye sanduku!
 
Jana nilimwona mgombea namba moja kama vile HANA RAHA KABISA. Kulikoni?.
 
Ijumaa ya leo ni ya kumuombea mama ushindi wa kishindo

“Ee Allah, saidia Rais wetu Samia Suluhu Hassan kufanikisha mafanikio, mpe hekima na uwezo wa kuitumikia nchi na wananchi wake, na ifanye awe sababu ya ustawi na maendeleo ya taifa letu.”

Aaaamin
 
Ijumaa ya kumuombea mabaya. Eee mwenyezi mungu saidie limpate jambo baya kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…