Special thread: Toa ya moyoni

Socw

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2016
Posts
1,329
Reaction score
2,644
wakuu

huu ni uzi maalum wa kusema chochote kile kutoka ndani ya miyo wako, inawezekana hujapata nafasi ya kuyasema popote pale....
tiririka
 
Ngoja nije nayalokuwa moyoni mwangu
 
"hearts have their choices, she was the choice of my heart" it's painful i can't get her back, but thanks for your careness.
Jamani pole sana [emoji24]
Nimevaa viatu vyako vimenipwaya,nimejaribu tu kuimagine yule nimpendaye akinitoka itakuwaje?
Uwiiiiiiii
 
Natami kuwa na mwanaume mwenye sifa ninazotaka Mimi lakini Hamna sababu wamelelewa tofauti na Mimi ninae mtaka na mlezi wao mmoja wanafanana jinsia adi tabia daa bora niishi hivihivi mpaka uzee na kifo sababu wanakera sana hawana shukrani ata wanachokitaka sikijui mpaka sasa oohooo story nilikuwa nawaza tu kwa sauti!
 
Nasikia mkaburu tbl kachemsha kampa mmarekani kampuni aiendeshe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…